Sielewe sera za CCM zitatunyonya mpaka lini ,Kipindi cha uchaguzi wankuja na ahadi lukuki ambazo hazitekelezeki na ndio mana wanarusha mate mengi kwnye mifuko hizi .
Bado tutaisoma namba mana tumeitaka wenyewe ,Naweza kutafsiri kuzaliwa Afrika ni kama dhambi na ndo mana Trump kasema Afrika tunahitaji kutawaliwa tena mana hatuwezi kujitawala ,Kila kona figisufigisu na ukisema ukweli unakamatwa kushtakiwa ,Thanks GOD for everything .
Mimi nasikitika sana kwa kauli zingine za uonevo ,kwanza turudi katika vitabu vya imani iwe biblia au koran viongozi kama hawa wanalaaniwa kabisa ,na upande mwingine wa kisiasa Nafasi za ukuu wa mkoa na wilaya ni kutafuna pesa za wananchi tu hakuna jipya zaidi ya kuwabana viongozi wetu...
Mimi nasikitika sana kukutana na coment za watu ambao hawahusiki hata kidogo ,Hapa tutofautishe na Face book .Hapa ni jambo linalokera sana .Haiwezekani pesa yangu eti serikali inipangie wakati wa kuchukua ??Kwa mfano wengi wetu tupo kwenye sekta binafsi muda wowote panga linapita ,Acheni...
Katika serikali zilizowahi kuongoza KIHUNI na upokonyaji ni hii tuliyonayo kwa sasa ,eti wananchi masikini ndo kipindi chao cha neema ?kutoka wapi kama si danganya toto ??Nauliza vyama vya wafanyakazi mko wapi ?mbona hamsikiki mkipigia kelele wizi huu wa wazi ?Kipindi hiki tutakoma na tuendako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.