Recent content by gerald.i.mgaya

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwa walimu wote.

    "tatizo ni kwamba wakaguzi wa shule wanakula viyoyozi maofisini lakini laiti wangekuwa wanapita kwenye shule za kata maarufa kama "saint kayumba" wasinge rudia tena kucheza game maofisini maana hali ni mbaya" na mbaya zaidi wanaoumia ni watoto wa mkulima kama mimi" walimu baada ya kutishiwa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mchumba humu.....members niozesheni

    Wapendwa muangalie kwa umakini unaweza kujinyakulia wa jinsia yako,mamako,babako,babu au mjukuu wako,hebu itifaki ya umri izingatiwe! JF kwa kweli Nomaa!
  3. G

    JamiiForums Tanzania ....love bite zinatokaje jamani?

    Ukirudi nazo utamfundisha na mkeo ukisafiri awe anamtafuta wakutengeneza love bites,sa sijui ataishia hilo tu laa! Sikiliza kwa makini pia tangazo la tuko wangapi!
  4. G

    JamiiForums Tanzania ....love bite zinatokaje jamani?

    Ulikubalije hali ukijua mweye mali yake umemwacha home!kuwa makini.
Back
Top Bottom