enzi zetu tulikuwa tunapewa sh 2500, sijui sasa utaweza kumlipa au ndio yale yale ya kuhamasisha. watu wana shida na kazi maana ajira sasa ni ngumu . be specific .
ndugu zangu kuna maeneo mengi nimefanya uchunguzi na kubaini wageni wanafanya kazi hata bila kibali cha nchi cha kazi ( working permitt)
je ndugu zangu hili mmeshaliona? au na serikali yetu ipo au haijapata taarifa . tufanyeni uchunguzi ili tuisaidie serikali kuwafichua hawa watu ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.