Wageni kuwepo na kibali cha kufanya kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wageni kuwepo na kibali cha kufanya kazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by geosenny, Sep 4, 2011.

1. g

geosenny New Member

#1
Sep 4, 2011
Joined: Sep 2, 2011
Messages: 2
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
ndugu zangu kuna maeneo mengi nimefanya uchunguzi na kubaini wageni wanafanya kazi hata bila kibali cha nchi cha kazi ( working permitt)
je ndugu zangu hili mmeshaliona? au na serikali yetu ipo au haijapata taarifa . tufanyeni uchunguzi ili tuisaidie serikali kuwafichua hawa watu ili tuwe wazalendo wa kweli.

2. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#2
Sep 4, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0
Wewe ndiyo uwe mfano kwa kuwapeleka hao uliowaona kwenye vyombo vya sheria. Sasa unapoanza kulalamika haisaidii kitu, sana sana utaonekana mzandiki tu.

3. FaizaFoxy

FaizaFoxy JF-Expert Member

#3
Sep 4, 2011
Joined: Apr 13, 2011
Messages: 58,107
Likes Received: 22,155
Trophy Points: 280
Serikali bila raia si Serikali. Onesha mfano na kuwa Umeifanyia Serikali yako kitu cha maana na si kungoja ikufanyie tu.

4. Money Stunna

Money Stunna JF-Expert Member

#4
Sep 5, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 13,105
Likes Received: 284
Trophy Points: 160
Acha wafanye kaz,kama pesa za kibali zinaliwa na watu binafsi bila kwenda TRA,nafikiri mlisikia kuhusu rushwa za uhamiaji kwa wale wa pakistan,rushwa imekuwa kubwa,ata ukireport baada ya muda utashikwa na police kwa maojiano zaidi uku watuumiwa wakienjoy na kula bata,nafikiri ulisikia kuhusu mwanaharakat msema kweli,ivo waache tu wapige kaz,kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe

5. X-PASTER

X-PASTER Moderator

#5
Sep 5, 2011
Joined: Feb 12, 2007
Messages: 11,651
Likes Received: 105
Trophy Points: 160
Hii biashara ipo na inashughulikiwa, ila raiya nao wanapaswa kushirikiana na uhamiaji, si kila kitu kuiachia serikali.

6. Kipis

Kipis JF-Expert Member

#6
Sep 5, 2011
Joined: Jul 23, 2011
Messages: 493
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Raia wanajitahidi sana katika hili nikiwemo mmoja wao katika kuisaidia serikali yetu, ila isipokuwa wahusika hawaonyeshi ushirikiano na wanaojitolea kuwafichuwa watu kama hao. Pesa inaongea zaidi.

7. D

Derimto JF-Expert Member

#7
Sep 5, 2011
Joined: Nov 4, 2010
Messages: 1,305
Likes Received: 5
Trophy Points: 135
Hivi cc tuna serikali?

8. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#8
Sep 5, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0

Nenda Somalia ndiyo utajua nini maana ya kuwa na serikali. Unajua nyie watoto mliozaliwa miaka ya 90 kuja juu ndiyo mnaleta matatizo mengi sana.

9. Big One

Big One JF-Expert Member

#9
Sep 5, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 759
Likes Received: 1
Trophy Points: 33
kwanza wanyasa wamejazana nao wanajiita watz hata kiswahili shida bado mataifa mengine yan nchi yetu bado sana ila ww toka nenda kwenye nchi zao shida utakayoipata kama huna vibali lkn kwetu fresh tu yaaaaan haina nouma tubadilike jaman

10. rosemarie

rosemarie JF-Expert Member

#10
Sep 5, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 6,768
Likes Received: 1,023
Trophy Points: 280
haya mambo mnachukulia kimchezo sana,labda hujaelewa topic inazungumzia nini

11. Jethro

Jethro JF-Expert Member

#11
Sep 5, 2011
Joined: Mar 23, 2009
Messages: 2,223
Likes Received: 98
Trophy Points: 145
Naungana mkona hoja nawe,

Mwita maranya 25/FaizaFoxy ndugu zangu sidhani hata nyie hii topic mtaipinga fika kabisa sidhani humu ndani ya JF mnataka kuniambia UHAMIAJI hawachakachui? Mikoa iliyo na mahoteli mkaulize kama vibali hutoka kihalali na kama utakuta kapewa kibali na ukikichunguza vizuri sicho sawa na kazi aliyo omba au aliyo ajiriwa. pili kuna unyanyasaji esp kwenye mahotel wazungu na wahindi hawa wao wanalipwa vyema kabisa lakini mwafirika unaye pigika huko viwandani na kwenye mahoteli duuuu kipato chako hata nauli ya daladala kwa mwezi hakifiki alafu JK huko Arusha alipo fungua hotel ya Snow-crest akatamka kuwa watanzania tuna tabia ya kudokoa je alithibitisha hilo vipi? kwa kuambiwa na yule rafiki yake mwenye hotel kule bagamoyo?? au.Mh. Pinda nae akasema bungeni kipindi cha maswali na majibu elimu yetu bado anakithibitisho gani kuwa elimu yetu ya Hotelia ni bado???

Haya matamko yote ya viongozi wetu wakuu serikalini ni tosha kabisa kuwapa mianya huru ya wenye mahotel(Wamiliki) kuajiri watu wa nje kwa hali na mali kwa aina yoyote na kuhakikisha wanapata vibari fake toka Uhamiaji na kukiuka sheria za nchi,

Hebu tuwaulize hawa Uhamiajai hawa wageni wa nje wakija nchini hufanya kazi kwa muda gani na wakisha tupa huo ujuzi wanatupisha au wana baki??? maaana una mkuta Financial Controller ni Mhindi kwa kiwanda mmoja amefanya kazi zaidi ya miaka 7 mahali pamoja na cheo kile kile hapo ndugu zangu mwataka kuniambia hatuna CPA holder wa kuzifanya kazi hizo? tuna Chef wangapi humu nchini wamesoma jamani tuache kubeza elimu yetu tuna uwezo haya tunayo yasema hapa kuna baadhi yetu na uhamiaji wao wanaona sawa kwani wanafaidika kwa namna mmoja au nyingine.

My Take;

Utoaji wa vibari kwa wageni kufanya kazi nchini kwetu rushwa ni nyingi sana vibari havizingatii sheria ya nchi inavyo takiwa

12. PrN-kazi

PrN-kazi JF-Expert Member

#12
Sep 5, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 2,890
Likes Received: 24
Trophy Points: 135

Uhamiaji kazi yao nikutoa vibali vya wageni kuingia nchini na si vinginevyo: kama kuna wageni wanaofanya kazi nchini bila kuwa na vibali vya kufanya nchini, peleka taarifa haraka TIC au Wizara ya Kazi na Ajira kupitia ofisi zao za Idara ya Kazi zilizoko takribani kila mkoa na baadhi ya Wilaya.

TIC na Wizara ya Kazi na Ajira ndiyo wenye mamlaka ya kutoa vibali vya wageni kufanya kazi Nchini.

Tafadhari wenye taarifa madhubuti ziwakilishe panapostaili.

13. Jethro

Jethro JF-Expert Member

#13
Sep 5, 2011
Joined: Mar 23, 2009
Messages: 2,223
Likes Received: 98
Trophy Points: 145

Idara ya kaziu ndio uozo mtupu hata kutetea maslahi ya watanzania wafanyakazi ndio hakuna na hao uhamiaji wao ni kama wamejiaralishia kuwa ndio watoa vibari vya kazi na ndio maana nika sema ukichunguza sna unakuta kibari cha mgeni kuwa nchini kina sema kazi yake tofauti na kazi aliyo mleta nchini hapo tayari uhamiji na idara ya kazi ni zero

14. r

rafi New Member

#14
Sep 5, 2011
Joined: Jun 25, 2007
Messages: 2
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Naomba ku uliza swala moja.....

Ni nini inayemfanya mfanybiashara amlipe mgeni mshahara mkubwa kuliko mtanzania???

Ninavyo waelewa wanabiashara, niya yao ni kupunguza gharama zao ili kuongeza faida yao.

Hivi kumleta mgeni na kumlipa mshahara mkubwa, na nyumba, na usafiri, na kumpatia kibali.....

Hawa wafanya biashara kweli hawajui biashara, wanakula gharama bure tuu.

Ngoja nianzishe biashara langu. Nitafaidika kweli kweli.

15. PrN-kazi

PrN-kazi JF-Expert Member

#15
Sep 6, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 2,890
Likes Received: 24
Trophy Points: 135
Jethro: kumbe unaelewa baadhi ya kazi za idara ya kazi lkn utaki kuzithamini tu;

unaposema idara ya kazi ni zero ktk kutetea haki za wafanyakazi, siyo SAWA ndugu: zipo standards ambazo zimewekwa na ILO kupitia Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini No 6 ya 2004 ambayo iko wazi kwa @ Mtanzania kwamba mwajiri na mwajiriwa hana haja ya kusema haijui.

Lkn pia Maafisa wa kazi wamekua wakipita mahala pa kazi na kuelimisha. Kinachobakia ni waajiriwa na vyama vyao vya wafanyakazi(Trade Unions) kulinda kile kilichoainishwa kama haki zao.

Inapobainika haki hazitendeki kabisa ndo wanashauriwa wapeleke malalamiko/mgogoro kwenye tume ya usuluhishi na uamuzi-CMA kwa ajiri ya utatuzi/ufumbuzi wakisimamiwa na wawakilishi kutoka trade unions siyo tena Watu wa idara ya kazi.

Kuhusu vibali vya watu wa kigeni kufanya kazi nchini, nendeni Wizara ya Kazi na Ajira au TIC ndo kuna ufumbuzi, kama mnafikiri Uhamiaji kwa vile wanavaa magwanda wana tabia za kipolisipolisi eti ndiyo suluhisho kila siku mtaona wageni wakifanya kazi nchini na wenyeji mkiishia kulalamika tu.

16. NYENJENKURU

NYENJENKURU JF-Expert Member

#16
Sep 6, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 1,008
Likes Received: 10
Trophy Points: 135
Hapo kwenye red siyo kweli.Wao wanatoa barua ya kuonyesha unavigezo vya kufanyakazi Tz na uhamiaji wanatoa permit.Na permit ni kwa miaka miwili na unarenew kwa miaka miwili basi.Zaidi ya hapo lazima uende kwenu lakini siyo hivyo watu wanakaa mpaka miaka 15.

Loading...