Kwa Kweli wengi wetu watanzania tumekuwa tukiyatumia magari haya ya ki japan na tunaendelea, hata mimi nilikuwa na hofu ya kununua gari za kiingereza, nikihofia upatikanaji wa vipuli, na high consumption of fuel, nimethubutu kulinunua na ninalifurahia gari hili aina ya Ford Festiva, ni gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.