Kama kichwa cha mada kinavyo jieleza ninaomba msaada wa mawazo kwa mwenye ufahamu nilichaguliwa TIA kwenye bachelor of accounting and finance nikaenda kufanya usajili nikapewa na namba ya usajiri lakin juzi nikapigiwa na chuo kikuu cha MZUMBE faculty kama ya chuo cha TIA.
Sasa nataka kwenda...
Jamani msaada wana jf kwa ambae anayo joining instruction ya chuo cha TIA ya dar, maana kuna kijana wangu kachaguliwa hapo.
Anasema akiingia kwenye website yao wanamletea ya mwaka Jana.
Nitangulize shukurani kwenu wana jf.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.