Wakuu, karibuni kwenye mdahalo ulioandaliwa na UDASA. Utafanyika tarehe 09.12.2019, UDSM Ukumbi wa Nkrumah, kuanzia saa nane (8) mchana. Wahi nafasi yako. Mada ya siku: Miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika; wajibu na mchango wa wanataaluma/wasomi katika maendeleo ya taifa.
George Kahangwa
UDASA Chair.
CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDASA)
S.L.P 35091 – DAR ES SALAAM - TANZANIA
Chair: 0713 563 212
Secretary: 0784687530
Treasurer: 0756594250
Editor: 0756260602
E-mail: udasa@uccmail.co.tz...
Wanajamii forums,
Kwa niaba ya UDASA nimeitika, na nimeelewa ni nini mnatarajia tufanye. Tunaandaa mdahalo, na tutaleta kwenu taarifa hivi karibuni.
Naomba nikufahamisheni pia kuwa ile club yenye jina la UDASA si kitu pekee tulichonacho, na si kwamba kimeanzishwa juzi. Wakati UDASA yenyewe...
Nadhani kununuliwa kwa wabunge na madiwani wa upinzani hakuelezi zaidi shida ya kambi ya upinzani pekee, bali shida ya nchi kwa ujumla. Kwamba sasa ufisadi umepata tawi jingine linalokua kwa kasi, yaani wanunuzi na wanunuliwa katika uongozi wa kisiasa. Hivyo, wahusika wa ufisadi huu wanapatikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.