Recent content by George Bush

  1. G

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Madereva Serikali pokeeni salamu nyingi toka kwa Rais Samia

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Kassim Majaliwa Majaliwa amewapelekea salamu mahususi kutoka kwa Mh Rais,Mama Samia Suluhu Hassan,MADEREVA wote wa Serikali Nchini kwa KAZI nzuri wanayofanya katika kusukuma Maendeleo ya Taifa! Waziri Mkuu Majaliwa pia alibeba Salamu mahususi za...
  2. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chemba: Hotuba ya Mgombea Urais kupitia CCM Dkt Samia yatikisa, Wananchi walipuka kwa Shangwe

    Sasa unadhani Chemba ni DSM au Kyela? Rural development is a process Bado Kuna watoto wa wafugaji wanafika darasa la Saba hawajui kusoma na kuandika sababu ni kwamba Leo anaenda Shule wiki haendi
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Kwani Haujui kwamba Samia Suluhu Hassan Bado ni Rais wa JMT na ndiye Amiri Jeshi Mkuu? Jeshi lazima limpe Ulinzi Hasa nyakati hizi ambazo Mh Rais yupo katikati ya watu wengi(Mass) Mnalaumu vitu hata havina kichwa hata mguu!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

    Ujinga mbaya sana!Vyeo vya Kijeshi vinaenda kwa sifa,muda na mambo mengine ya ndani ambayo hata Rais hausiki! Mbona mnajua sana kupotosha?
  5. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Nilikabidhiwa nchi ambayo wafanyabiashara walikuwa wanalipa kodi zisizo stahili

    Duu,matusi ya Nini?Mkifikiwa mnalilia ooh tunatekwa!
  6. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 "Kamanda"Mwamengo ndani ya INEC Kyela leo kuchukua fomu ya kuomba uteuzi wa kuwa mgombea ubunge

    Kamanda wa zamani wa Jeshi la Magereza Tanzania,Mfanyabiashara na Kada wa Chama cha Mapinduzi Mh Baraka Mwamengo leo "anatinga" RASMI kuchukua fomu ya kuomba Uteuzi wa kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Kyela Mkoani Mbeya,Ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ziizopo Ofisi za Halmashauri ya Wilaya...
  7. G

    JamiiForums Tanzania The legacy continues: Dar-Bunjumbura mega transport tie!

    The Facts About Dar -Bujumbura SGR Cross-Border Mega Project Line! I.It is expected to be a Direct-fastest SGR Railway line ever seen in East African Block(EAC). II.President Ndayishime of Burundi and Prime Minister Majaliwa of TANZANIA register another tie between the Countries! III.The...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mh, Samia Suluhu,hizi ni salama zangu kwako

    Oooh!
  9. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wavaa mavazi ya kiraia kesi ya Lissu Mahakamani Kisutu. Wananchi wawashtukia

    Panda Basi kaka!Kama kifo kizuri uliza kaburi
  10. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 IGP Wambura: Hatuendi vitani lakini tunakwenda kusimamia usalama, amani, utulivu wa taifa letu kabla, wakati na baada ya uchaguzi

    Tanzania kwanza! Asante Afande IGP kwa kauli hiyo muhimu hasa wakati huu.
  11. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 Masache awashukuru wajumbe wa jimbo la Lupa - Chunya

    Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilayani Chunya,Mh MASACHE Njelu Kasaka amewashukuru Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Lupa-Chunya Mkoani Mbeya kwa kuendelea kumuamini yeye pamoja na Chama cha Mapinduzi na kumpa ushindi wa kura 5,569 kati ya kura 10,691 halali zilizohesabiwa hapo juzi! Mh MASACHE...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

    Mnajua kutafuta huruma nyie!
  13. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 Abdukadil Ally Issa nyota mpya inayowaka ubunge Tunduru Kaskazini

    Nyota inawaka upande wa Kijana Mdogo na Mjasiliamali katika mbio za Ubunge Jimbo la Tunduru Kaskazini na ni kama Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Tunduru Kaskazini WAMEAMUA kwa kauli moja kumpa kura kijana huyo mdogo lakini mwenye MAONO makubwa hapo kesho! Kwa mujibu wa UTAFITI...
Back
Top Bottom