Recent content by George Bernard Yunga

  1. G

    JamiiForums Tanzania Tunaomba update za interview TRA

    If 210 selected for oral interview out of 3954 candidates, and only 7 needed to be hired, reserving more in data base is likely to happen . Just my opinions.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tunaomba update za interview TRA

    Waliofanya ni 3954, 210 ndio walio Kuwa selected for the next stage(Oral).
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tunaomba update za interview TRA

    ANGALIENI MATOKEO YAMESHATOKA JAMANI
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tunaomba update za interview TRA

    Swali la tatu lilikuwa na maelezo haya kama sijakosea"The customs departments plays a major role in collecting government tax revenues.The taxes come from taxing imported and exported goods.You as a customs officer,how will you help the customs depatment in revenue collection?". And l said the...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tunaomba update za interview TRA

    Msijichanganye. Inshort customs officer II maswali yalikuwa hivi. 1: Methods of valuation of imported goods. -Transaction value of imported goids -Transactiin value of identical goods -Transaction value of similar goods -Deductive methods -Computed methods -Fall back metho NB: These methods are...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa mtangazaji wa kipindi cha TV na Chaneli ya Youtube

    Ati tv flani, mshahara mara tu kampuni ikianza kuingiza mapato, picha inayoonesha mwili mzima. YOU ARE FULL MAD.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo yametokea kwenye usaili wa BRELA ya kushangaza. Je, hii ni kweli?

    Read slowly and thoroughly utajua ujumbe umebeba nini.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo yametokea kwenye usaili wa BRELA ya kushangaza. Je, hii ni kweli?

    Ukiwa na mihemko ni ngumu kuelewa nina maana gani.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo yametokea kwenye usaili wa BRELA ya kushangaza. Je, hii ni kweli?

    Wana JF msifikili matokeo yakitoka mnaweza kumkuta huyo mwanamke aitwae Sheila salum mfunami. Hii ni kama issue imeriki ndio maana inaonekana hakuenda kwenye oral. Yawezekana ali ahirisha kwenda kwa sababu yeye mwenyewe alijishtukia au aliyekuwa anamfanyia mchongo alimwambia asiende baada ya...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo yametokea kwenye usaili wa BRELA ya kushangaza. Je, hii ni kweli?

    Wewe Fula unaotetea hilo umeagizwa na nani?, mbona muhusika hajaja kukanusha ikiwa hili linaloendelea analijua. Kama umeagizwa na unaongea kwa maagizo yake sema. Afu unatoa taarifa nyingi za brela bila kusimamia kwenye hoja ya msingi. INAONEKANA MTOA MAADA ANA FULL DETAILS ZA KUITWA KWA SHEILA...
  11. G

    JamiiForums Tanzania TRA imeshaita kwenye usaili?

    Uwe unatembelea tovuti ya ajira walau mara moja kila siku
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

    JAMANI MWENYE PEPA LA TAX OFFICER WALILOPIGA JANA ATUPIE HAPA
  13. G

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usahili TRA

  14. G

    JamiiForums Tanzania Majina ya kuitwa kwenye Usaili TRA yawekwa hadharani

    Usitafute jina lako kwa kupitia kila jina, click kwenye search afu andika jina lako, very simple mkuu.Ukiwa umedownload hiyo page either kwa simu au PC ,juu kabisa kunasehemu ya kusearch.
Back
Top Bottom