Recent content by geomaipa

  1. G

    JamiiForums Tanzania Binadamu waanza kuishtukia Apple, lakini wameshachelewa!

    Apple hawajapata hasara,ila faida imepungua kwa mara ya kwanza toka 2003,
  2. G

    JamiiForums Tanzania Help: Fixed deposit Vs ununuaji Hisa

    Mimi nina elimu ya financial planning na kwa ushauri wangu weka 2/3 ya pesa zako UTT,1/3 ya pesa zako weka fixed deposit,tafuta benki zenye rate kubwa kuliko zote,usiweke pesa zako zote sehemu moja hata kama kuna return kubwa kiasi gani
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wauza mafuta Tanzania wanatengeneza faida za ajabu

    hata kama ni ghafi,lazima kuwe na uwiano mwisho wa siku,we jiulize mafuta ghafi yangepanda kwa asilimia 75 bei ingekuwa sh ngap saivi?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wauza mafuta Tanzania wanatengeneza faida za ajabu

    takribani mwaka mmoja toka leo bei ya mafuta kwa pipa moja katika soko la kimataifa lilikuwa zaidi ya $120. leo hii bei ya pipa moja la mafuta ni chini ya $36. mara ya mwisho bei ilikuwa chini hivi miaka 11 iliyopita. ndani ya mwaka mmoja bei ya mafuta imeshuka kwa asilimia 75. kipindi bei ya...
Back
Top Bottom