Recent content by Geog-language

  1. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 The beginning of the end to the Tanzanian Youths. Vijana ndio Taifa la kesho tuwape nafasi na tuwekeze kwao

    Tanzania ni nchi yenye wasomi wengi sana wenye maarifa ya hali ya juu,uwezo mkubwa katika proffesional zao na vyeti ambavyo vina watambulisha kuwa wamefuzu katika fani zao walizo somea kama Ualimu , Afya na nyenginezo. Ila mbaya zaidi wasomi hao wengi wana maisha ya chini sana na wengi wao...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuomba nafasi zifuatazo ajira portal naomba anipe nondo au hints

    Employer: Wakala wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) Job Post: TUTOR GRADE II (ENGLISH LANGUAGE Employer: Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) Job Post: CURRICULUM DEVELOPER II (FINE ART SUBJECT)
  3. G

    JamiiForums Tanzania Interview kwa walimu walio wahi kuomba kazi ajira PORTAL sector ya curriculm na assistasistant lecturer

    Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kupita kwenye idara ya Uhamiaji na Magereza tunaomba uzoefu wenu

    Nime pangwa week hii yanatoka
  5. G

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri Mchengerwa amefanya kazi nzuri sana, sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi

    Anaye mfahamu Neva Joel na Gabriel mwaipu Tamisemi ni nani maana Dah kwenye harakati za kupambana imekutana nao facebook neva Joel kanipa namba ya Gabriel mwaipu ...na wame jiandika wako TAMISEMI ...sasa Gabriel anataka nitume pesa je nikwel wapo wanaweza nisaidia au napigwa
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kimesha umana huko tusio na ma mbanga tume umaliza mwendo na degree zetu ...........tume kula za shingo 😂😂😂
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kingine kwa walio wahi fanya usahili wa fani ya Arts in lingustics je usahili ukoje level degree maswali yake wakuu yakoje ?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Samahanini kwa watu wa degree wao hawapigiw simu ?
Back
Top Bottom