Recent content by Genuine raf

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Aisee hongera Sana mkuu,hii ni bonge la suprise
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegombana na Mke wangu leo mpaka nimeshangaa

    Safi sana
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegombana na Mke wangu leo mpaka nimeshangaa

    Kuwa makini na ushauri unaopokea unaangukia pua Sasa hivi🤣,anaekupa ushauri unakuta yupo kwake muda huu anapapasa kijacho wake,au ameamshwa saa nane usiku akatafute tikiti na ameenda,..mjitahidi sana kusoma majarida yanayohusu uzazi na ujauzito.hata wanaume yanatusaidia sana kuishi na wake zetu...
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegombana na Mke wangu leo mpaka nimeshangaa

    Sahihi,anataka make wake awe kama wajawazito anao waonanhuko,mimba hazifanani bro..kulinganisha ni kosa kubwa mnoo..inaonekana Bado mchanga kwenye ndoa..miaka ya mbeleni ukishapata uzoefu ukiurudia huu Uzi utajicheka sana..kwa lipo hapo la kumrudisha make wako kwao hahahaa akichepuka siku si...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera Sana mwifwa na cves kwa kuvutiwa waya,msitukimbie humu jamani, mkuu Ahmet usichoke endelea kuvuta subra soon utaingia mzigoni Bado hatua kidogo tu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yani Kila safari ni under pressure ila angalau presha sio kubwa kama ya kusubiri placement
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Niko busy broo acha tupambane tutaleta shuhuda hapa
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ile ya blue eeh🤣
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Daaah siku online hizi siku 2,naingia website naona placement za NAOT nimekuja mbio huku japo nna muda finyu kuja kuuliza taarifa zako,aisee nimekutana na habari njema sana mwifwa..umeupiga mwingi broo and and am happy for you..Sina shaka kwamba utakua mtumishi mwema kabisa.once again hongera...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Huu Uzi mtamu broo kuachia kiurahisi sio mchezo🤣
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tuliosoma Cuba tumeshaelewa,huu ni ujio mpya wa wizy ila content ni ileile🤣
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Endelea kuagiza beer usije ukalia,wizy alikimbia huku
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nipo Sanaa kaka👋
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu umeshàanza kupiga kazi?
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nipo mkuu!hizi wiki mbili nimebanika mahali nasaka tonge.huku nachungulia tu nalike natoka ila tuko pamoja sanaaaa mpaka kieleweke
Back
Top Bottom