Recent content by Gentle001

  1. Gentle001

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja maeneo ya Kibugumo Kigamboni, Bajet 2.5M

    Kuna jamaa anauza kiwanja chake kipo vikindu lkn ukivuka Toa Ngoma km upo interested utanambia
  2. Gentle001

    JamiiForums Tanzania Kati ( Simulizi )

    SEHEMU YA TANO (Mtanisamehe kwa sehemu zenye typing error) "Sico subiri kwanza" Nilipata ujasiri wa kujichomoa kutoka kwa Sico baada ya kubadilishana nae mate kwa muda "Shida nn kwani K " Aliniuliza "Sijisikii vizuri Leo nimechoka sn" "Umechoka na nn au haunitaki tena baada ya kunitumiaga...
  3. Gentle001

    JamiiForums Tanzania Hivi huu ni wivu wa mapenzi tu au ni nini?

    [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
  4. Gentle001

    JamiiForums Tanzania Hivi huu ni wivu wa mapenzi tu au ni nini?

    Eti eeh [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Gentle001

    JamiiForums Tanzania Hivi huu ni wivu wa mapenzi tu au ni nini?

    Kwan nimesema Sina demu mie hahahah
  6. Gentle001

    JamiiForums Tanzania Hivi huu ni wivu wa mapenzi tu au ni nini?

    Umri nadhan kwenye 24 au 25 ndio amemaliza chuo mwaka huu na mshkaj wangu navyomuona km anampango nae kabsa wa ndoa maana maisha tayar anayo kiasi
  7. Gentle001

    JamiiForums Tanzania Hivi huu ni wivu wa mapenzi tu au ni nini?

    Hta mm ndio nilimwambia mshkaj ss km demu wake anamind hvyo alafu mm Ni mwanaume mwenzake ungekuwa vp km ningekuwa demu so ndio ungekuwa Vita kabsa
  8. Gentle001

    JamiiForums Tanzania Hivi huu ni wivu wa mapenzi tu au ni nini?

    Habari zenu Wana JF Moja kwa moja ngoja niende kwenye mada. Mshkaji wangu kuna demu mmoja alikuwa anampenda ila anaogopa kumwambia hvyo ilibidi nimsaidie kumtongozea na akampata kweli yule binti. Shida inakuja kuwa moja mimi ndiye naonekana kuwa chanzo cha ugomvi wao kwani huyo demu hapendi...
  9. Gentle001

    JamiiForums Tanzania Kati ( Simulizi )

    SEHEMU YA NNE (Mtanisamehe kwa sehemu zenye typing error maana natumia simu kutype waungwana) Wiki moja ilipita,wiki ambayo niliamua kuwekeza nguvu na muda wangu wote kwa Lucy ili nitimize lengo langu mapema. Sikutaka kumpa Lucy sababu ya kuona hapendwi Kwan nilikua nampatia kila anachokihtaji...
  10. Gentle001

    JamiiForums Tanzania Kati ( Simulizi )

    Kesho muendelezo wake kiongoz
  11. Gentle001

    JamiiForums Tanzania Kati ( Simulizi )

    Hhahaa ndio hapo hapo
  12. Gentle001

    JamiiForums Tanzania Kati ( Simulizi )

    SEHEMU YA TATU Baada ya muheshimiwa wangu kukutana na ikulu ya Sico sikutaka tena Sico anielekeze nini natakiwa kufanya kwani nilianza kumsukuma taratibu muheshimiwa wangu kuingia ndani ya ikulu ya Sico. Nilitumia km dakka mbili tu kufanya hivyo ndipo nikaanza kumsukuma mheshimiwa kwa kuongeza...
  13. Gentle001

    JamiiForums Tanzania Kati ( Simulizi )

    SEHEMU YA PILI Wiki moja Baadae... Nilipazoea sn kazn kwangu, hakuna kitu ambacho nilikua sikijui tena kwani Sico alihakikisha nafahamu kila kitu mapema hasa ukizingatia sikuwa mchoyo wa kutoa vijipesa kidogo kumpatia kila alipokua ananiomba nimsaidie. Pesa nilikuwa napata sana hasa za wale...
  14. Gentle001

    JamiiForums Tanzania Kati ( Simulizi )

    Kweli kabsa subiria leo tena muendelezo wake
  15. Gentle001

    JamiiForums Tanzania Kati ( Simulizi )

    Sehemu Ya Kwanza Kwa Majina naitwa Kelvin pia James, Haya ni majina ambayo sikupewa na wazazi wangu Bali nilijibatiza mwenyewe lengo hasa likiwa Ni kujibland wakati najitambulisha mbele za watu hasa watoto wa kike japo hata mbele za vidume wenzangu huwa najitambulisha kwa majina hayohayo pia...
Back
Top Bottom