Recent content by GENTAMYCINE

 1. GENTAMYCINE

  Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

  Huyo Jamaa namchukia na kibaya tena ni Shabiki wa Klabu nisiyoipenda duniani kote ya Yanga.
 2. GENTAMYCINE

  Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

  Muulize Yule Mpare wa Oysterbay Makao na Yule Msukuma wa Upanga Makao kisha malizia na Daktari wake, Bibi Mmoja wa Kisiwani na Mswahili wa Pwani na Manesi Wawili wa Mzena.
 3. GENTAMYCINE

  Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

  Tokea afe Umekuwa Tajiri au Shida na Dhiki zako zimeongezeka maradufu? Nitashukuru ukinijibu haraka tafadhali.
 4. GENTAMYCINE

  Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

  Kwangu Mimi Marais wazuri, makini, werevu na Wachapakazi niliowahi kuwapenda na nawalilia sana na 24/7 ni Watatu tu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Hayati Mkapa na Hayati Dkt. Magufuli wengine walijitahidi / wanajitahidi ila waliharibu na wanaharibu zaidi.
 5. GENTAMYCINE

  Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

  Mkuu kuhusu Kifo chake kimetokana na nini wala usijali kwani huenda nami kwa niliyoambiwa na Mchongo mzima ulivyokuwa hadi Kufa Kwake nimeanza kuuamini ule Msemo usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO na nina Watu Watatu katika hiyo 'List' huwa nikiwaona tu katika Tv ( Runinga ) huwa nazima kwa Hasira...
 6. GENTAMYCINE

  Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

  Mkuu popote pale ulipo kwa post yako hii naomba nikupigie 'Salute' ya Heshima tena ile ya Kijeshi kabisa. Hii post yako ingekuwa ni bidhaa inayouzwa hata kama ingekuwa ni Milioni ningejitajidi Kuinunua. Umeandika vyema na Ukweli mtupu tu.
 7. GENTAMYCINE

  Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

  Anisamehe huko aliko kwa kuwa 'Mkosoaji' wake kwani kuna mahala nimegundua GENTAMYCINE nilikuwa namlaumu pasipo Kutizama kwa 'Angles' mbalimbali na Jicho pana Kimtizamo. Hayati Rais Dkt. Magufuli alikuwa Mtu!!
Top Bottom