Recent content by Genoveveive John

  1. G

    JamiiForums Tanzania CCTV camera

    Clearance sale, OFFER OFFER OFFER JIPATIE CCTV CAMERA KWA ELF 40 TU NDIO NI ELF 40 TU MFUNGIE DADA WA KAZI NYUMBANI INANASA VIDEO NA SAUTI UNACHOMEKA MEMORY CARD UKIRUDI UNAANGALIA MATUKIO, AU UNAWEZA KUANGALIA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU KWAKUTUMIA WIFI. {(0748431481)} DELIVERY IPO WAHI KABLA...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Laptop stand kwa bei ya offer

    Jipatie laptop stand, kwa elf 15000 Tu, wengi mnajua bei zake, mi nawapa kwa 15k... Faida za laptop stand, inaipa uwezo mzuri pc yako kuingiza na kutoa hewa, hivyo Una avoid over heat, unaweza kuset pc vyovyote utakavyo kulingana na position yako, movie lovers wananielewa zaidi. Tunapatikana...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta bus bora

    Frester, happy nation, na mengine mengi
  4. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta bus bora

    Asante sana
  5. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta bus bora

    Yapo best
  6. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta bus bora

    Asante sana
  7. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta bus bora

    Nataka kutoka dar kuelekea bukoba
  8. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta bus bora

    Natokea dar kwenda bukoba
  9. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta bus bora

    Habari wapendwa, Naomba kujua bus zuri kwa safari ya bBukoba. Nasafiri Jumanne, please nataka usafiri comfortable kwa ajili yangu na mwanangu. Asanteni sana.
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe, kumpenda kijana wako, isiwe fimbo ya kunichapia

    Hivi kwani Kuna mashindano?? Mbona kama mama zetu hawajihanini kabisaa, napenda kujua labda Mimi ndio mgeni katika Haya mambo kwani Kuna Siri gani kati ya mama mkwe na kijana wake??? Hapo mwanzo nasikia alikua anakataa Kila Binti aliekua akipendwa na mwanae, yaani Sababu haziishi, ooh huyu...
  11. G

    JamiiForums Tanzania SoC02 HISTORIA: Mama yangu popote ulipo lala Salama

    Habari, Kwa majina naitwa (Geniva Joseph) sio majina halisi, ila nipo hapa kuwasilisha historia fupi ya maisha yangu yangu na jinsi gani uwajibikaji ni muhimu sana katika jamii yetu Nilizaliwa kijijini cha Katangaro mkoani Geita, Baba yangu kama baba wengine wasiokuwa wawajibikaji ilikuwa wiki...
Back
Top Bottom