Siwezi kukataa kam n gaid au sio japokuw nina uhakik 100% sio gaidi kutokana na matendo yake y kila siku. ila kitu cha muhimu ni taarifa kwa ndugu either tujue kama mzima au amekufa au hata kama ana hatia apelekwe mahakaman
JAMANI EEEH KAMA UNAHISI HII NI CHAI NA HAUNA MSAADA WA KUTETEA NAOMBA N BORA UPITE TU MAANA UTAAMBULIA MATUSI YASIYO NA SABABU MIMI NIKIWA KAMA MMOJA WA WANAFAMILIA NIKO NASIKITIKA NA KITENDO HIKI SASA INAPOTOKEA HAYAWANI MMOJA ANAKUJA KUNISHUTUMU NA MIMI NI GAID SITOSITA KUTUMIA LUGHA NGUMU
Kabla ya kusumbuka kuwatafuta hao watu mimi mwenyewe niko tayari kuweka details zangu mi sio type ya watu nayeogopa polisi pasi na kosa maalum n huk polisi nishawahi kwenda kupeleka kesi zaiidi ya tat na zote nilishinda
Hivi bro unadhani unawez ukanitish kwa jambo ambalo halin kichwa wala miguu nimeshakuambia kam kun usalam hum nko tayar kuwek hat details zangu ili nkamwone ndugu yangu na ikiwezekana kumtetea
Ishu ya picha nishatolea maelezo post za juu kwamba kwa imani yake hata kupiga picha ni dhambi so tumetafuta picha zake za nyuma tumekosa sasa unataka nitoe maelezo gani tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.