Recent content by Genius Gentleman

  1. G

    Hodi Hodi Wakuu

    nimeshaanza....
  2. G

    Hodi Hodi Wakuu

    naona umetilia mikazo....nitaweka....
  3. G

    Natafuta mchumba wa kiume

    Mkuu Kama angempata mwanaume anaemfaa hangerudi hapa.Namuombea Mungu apate nione nyuso zenu mnaombeza mtazificha wapi. wakuu, Kama thread ya mwemzio haikuhusu pita kulee.....Kama ikikugusa nenda PM....Kama una ushauri tathmini Kama ushauri wako utajenga au kuumiza mwenzako.hekima kitu cha...
  4. G

    Natafuta mchumba wa kiume

    Mkuu Tutor B ,Kuna kitu kinaitwa comparability ambacho ni cha msingi kuzingatiwa.elimu na hofu ya Mungu inaafect individual understanding, character formation,understanding na reasoning.Vigezo alivyotaja vyote vinaonyesha anajitambua....je una uhakika gani kumhukumu kuwa vigezo vyake...
  5. G

    Hodi Hodi Wakuu

    JF Members wenzangu,....sitawaangusha Watakaotegemea mchango wangu,kimawazo nitahakikisha nakuwa Genius na kutoa ushauri as a gentleman. Naomba mnipokee.
Back
Top Bottom