Recent content by Genius.davis

  1. Genius.davis

    Natafuta kazi kama web developer au tenda (projects) za kutengeneza websites na web applications

    Mara ya kwanza ilikuwa OK kabisa, labda Google wameadd some feature ikachange. Nitalishughulikia hill tatizo
  2. Genius.davis

    Natafuta kazi kama web developer au tenda (projects) za kutengeneza websites na web applications

    Habari wana jamiiforum, natafuat kazi kama web developer au tenda( projects) za kutengeneza websites na web applications kwa wenye biashara,agency,company,NGOs au personal website(bloggers). sifa zangu ni: 1.Nina Bachelor degree in Computer science toka university of Dodoma. 2.Nina skills za...
  3. Genius.davis

    Hizi ndoto zina maana gani?

    Hizo ndoto ni hatari Sana zinaonyesha umeolewa katika ulimwengu wa roho (jini mahaba) au kwa lugha nyingine wanaitwa spiritual husband. Ukiona umeolewa katika ndoto ujue umefunga ndoa ya maagano katika ulimwengu wa roho. Watu wengi wamefanya maagano ya kindoa na hizi roho za spiritual...
Back
Top Bottom