HIV INASHAMBULIA KINGA YA MWILI....
CORONA INASHAMBULIA HEALTH CARE SYSTEMS YA NCHI WHICH IN TZ WAS ALREADY POOR
IN DAR
NOW WATCH PEOPLE DROP SII NA CORONA PEKE YAKE
FANYA UWEZALO USIUMWE KARIBUNI
HOPITALS ARE COLLAPSING IF NOT ALREADY CRIPPLED!!
Ma bibi na ma bwana WE ARE AT WAR!!!!
Nimegundua muda mrefu saana kama kuna strategy ya vyombo vinaongea na wajinga nikimaanisha wasiojua wengi Tanzania wachache wanaojua wanakuwa ignored
Unapokea NEWS UNAKUWA FUSTRATED HOW UA INTELLIGENCE IS INSULTED.. INTENTIONALLY
SO WE MEET JAMII AND GET...
Upo wrong on many areas
Electoral college NOT electrovote won trump the election
Wisconsin, Michigan, Pennsylvania cost hillary the election
In short you are very mis and under-informed..
Sikuwa specific nilikuwa namaanisha mji wa guayaquil walipokuwa hit hard... walipokuwa wanaongelea BBC wakawa wanasema average temperature in a year ni 30 celcius kwahiyo kwamba belief kuwa corona haifanyi well kwenye hot ni uwongo n.a. leo guayaquil ni 24 celcius
Kaduguda,
Trump alipo funga boarder January kwa wachina wangapi walimuunga mkono?
Most news outlets are very liberal n.a. against trump ..ukiingia YouTube unatafuta news mwenyewe unakuta news outlet kama CNN ni waongo saana wapo tayari kudanganya chochote kuhusu trump ndoo maana ratings zao...
Kwa kifupi Mapafu yanaribika kwa kuvimba... yanashindwa kucontract n.a. relax...Wenye magonjwa kabla ya kupata corona e.g. asthma.. Bp... kifupi organs muhimu zinakosa oxygen... organ failure dakika sufuli chini
Unaweza hisi wa2 wangapi wamerudi nyumbani n.a. huu ugonjwa wakaua wazazi, familia n.a. wengine wakaribu kwa kutokujua... knowing there is a problem... ni step muhimu ya kufight back n.a. kutake measures
Sijafwatilia... 2mejiweka kwenye position mbaya saana kama chanjo haitapatikana karibuni .. Tanzania 2talazimika tuupate woote..watakaopona ndio wasonge mbele.... na utalii nani aje wakati wanajua hali mbaya nani akuruhusu uingie nchini kwake kiurahisi... m2 kama ana bp.. kisukari asthma... no...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.