Recent content by GENIOUS - LEADER

  1. G

    Anguko la CCM uchaguzi mkuu 2015 limeasisiwa na CCM yenyewe

    Hata hivyo CCM lazima ipigwe chini mwaka huu maana hakuna namna nyingine. huku mitaani Ukawa, Chadema na Lowassa ndio habari ya mjini. Tukutane kwenye sanduku la kura 25 Octoba
  2. G

    Wana CCM wachoma kadi Monduli na Arumeru

    hata wao walikuwa CCM, tusubiri tuone
  3. G

    Njama za CCM kumuweka Kizuizini Lowassa zaiva!

    yaaa ni kweli Nyerere asingehama na robo tatu bali angehama na zaidi ya robo tatu.
  4. G

    Ni Widman Masika CHADEMA vs Lukuvi CCM jimbo la Isimani

    Ndg wana jamvi, tukiacha ushabiki wa vyama na kujielekeza katika uhalisia ni wazi kwamba jimbo la isimani limeiva kwa upinzani(ukawa) endapo tu watazichanga karata zao vyema. baada ya tathmini ya kina ni dhahiri ya kwamba Widman Masika ndiye anayeelezwa kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi. Pamoja...
  5. G

    Lowassa awasili Zanzibar; Mamia wajitokeza kumpokea usiku huu!

    Rais mtarajiwa huyooooo. kweli huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono
  6. G

    Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

    hizo propaganda mfu
  7. G

    Kati ya watangaza nia wote, yupi umeona anafaa?

    Edward Lowassa atosha
  8. G

    Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    ndugu ndani ya nchi hii hakuna hata siku moja kiongozi wa taifa hili kutoka ndani ya CCM aliwahi kutamka hadharani kukiri ya kwamba upinzani kwa sasa umekuwa na kuimarika isipokuwa Edward Lowassa pekee. amekiri hadharani kutambua nguvu za upinzani lakini pamoja na Muungano wa UKAWA bado hali...
  9. G

    Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    eeeeh Mwenyezi Mungu ingilia kati watu wako tupate wepesi wa kutafakati, kupima na hatimaye kuzungumza au kusemea jambo tuliloelewa japo changamoto ni kwamba tofauti ya uelewa wa pamoja ndo utofauti tulionao binadamu
  10. G

    Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    hawa wote ni viongozi wenye utashi, naamini watapima upepo lakini pia busara na hekima vinahitajika sana katika kuamua kwani kwenda vinginevyo ni kulipasua taifa....... mafuriko kwa mkono, impossible
  11. G

    Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Tukiacha ushabiki na hisia zenye kutawaliwa na chuki mh Lowassa amezungumza mambo ambayo yamewagusa watu wengi na kufufua matumaini ya matamanio yao ya maisha kwa siku zijazo.
  12. G

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    hakika hizo ni hoja za msingi. ni vyema kila mmoja akajielekeza katika kuukubali ukweli huo.
  13. G

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    my president is Lowassa haijalishi ni mnyakyusa au mmeru what matters ni kuirudisha nchi yetu kwenye msatari kwani mbali na kuwa kiongozi pia ni mtendaji mahiri. acha ashike dola atunyooshe.
Back
Top Bottom