Habari wadau last week niliitwa kwenye usaili utumishi position ya commercial manager Kibaigwa water supply and sanitation tulikuwa watu watano wanaume wanne na mdada moja tukapewa assignment ya swali then tuandae power point baada ya hapo tukaitwa kufanya presentation ya kile tulichoandika...
Habari wadau,
Samahani kwa wale walioomba nafasi za ajira TRA za mwezi November ambazo deadline ilikuwa tarehe 4 washapata majibu ya kuitwa kwenye usaili maana ajira portal huwa wanatoa majibu baada ya week 2 kupita yangu deadline.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.