Recent content by General Stalin

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mnaokunywa Pombe kwanini mnatushawishi tusiokunywa?

    Ndege wanaofanana huruka pamoja, inabidi tufanane Ili turuke pamoja
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwa joto hili Dar sio sehemu ya kuishi binadamu

    Binafsi nikimaliza kilichonileta hapa mjini narudi zangu mkoani nkatulie, KIBANDA nilichojenga kitakuwa Cha kufikia tu kuepuka kulala hotelini
  3. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mazao ya chakula yasiuzwe nje ya Nchi, hali ni mbaya sana. Serikali zuieni haraka

    Kwa kweli sahivi huko vijijini wakulima wameanza kujenga nyumba bora
  4. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mazao ya chakula yasiuzwe nje ya Nchi, hali ni mbaya sana. Serikali zuieni haraka

    Bora umemwambia ukweli mapema hajui gharama na hasara tunazokula huko kwenye kilimo Mwaka ukipata bahati ya soko unafidia na hasara za miaka ya nyuma
  5. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mazao ya chakula yasiuzwe nje ya Nchi, hali ni mbaya sana. Serikali zuieni haraka

    Mkuu mwakani shika jembe ingia shambani Wacha wakulima tufaidi jasho letu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Lecturer ananitaka kimapenzi, ananitishia yeye ndio mwenye hatma ya matokeo yangu

    ...ripoti PCCB awekewe mtego, au mlengeshe maeneo ya uswazi wanazengo wamalizane naye sema huna roho ngumu ndio shida!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

    Ataendelea kula mshahara wa polisi maana Bado hajastaafu kule
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu KCMC akiri KCMC kugubikwa na Ukabila, Udini na Mahaba

    Haya ni majungu, ukiona huwezi kufanya kazi hapo acha kazi JMT KAZI IENDELEE
  9. G

    JamiiForums Tanzania Baba mdogo anakula kitimoto hadharani

    Onja tu ni tamu balaa, najisi ni kile kitokacho na si kiingiacho Wewe tu ndio umechelewa wenzio wanapiga kama kawa
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

    Chizi kashika keyboard ndio utumbo gani umeandika hapo
  11. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania yasitisha vibali vya usafirishaji wa mahindi nje ya nchi

    Ngoja tuweke stoo hatuuzi mahindi, Kila Moja alime yake
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

    Dawa ni kuanzisha kanisa lako utakuwa unajilipa fungu la kumi mwenyewe
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tunamuomba Serikali yetu isiyumbishwe na kelele za watumishi

    Kimsingi kuna chuki kubwa sana dhidi ya waajiriwa wa serikali hasa kutoka kwa wale ambao familia Yao haikubahatika kutoa hata mtumishi mmoja serikalini.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mstaafu wa Jeshi atuhumiwa kuua kwa risasi kisa mgogoro wa mipaka

    Ameua bila kukusudia atahukumiwa kifungo Cha nje ataendelea kukaa kwenye kiwanja chake Hasara kwa marehemu
Back
Top Bottom