Recent content by General Overseer

  1. G

    JamiiForums Tanzania Bongofleva Jifunzeni kwa watu waGospel

    😁😁
  2. G

    JamiiForums Tanzania Bongofleva Jifunzeni kwa watu waGospel

    Jana kulifanya tamasha kubwa sana la mziki la CRDB- Imbeju na Trey Songz alikuwa ndio kivutio. Mjadala mkubwa umekuwa haswa kwenye utofauti wa uimbaji wengi wakihoji mbona alvyopanda Trey Songz mziki ulikuwa mzuri sana, sound was sounding, tofauti na ilivyokuwa walivyoimba wabongofleva. Wadau...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Maonesho NaneNane

    Uwepo wa JKT ni sahihi lakn maonesho haya yanatembelewa na wananchi wengi mbona zipo Taasisi kwenye maonesho na hazihusiani na kilimo wanashiriki
  4. G

    JamiiForums Tanzania Maonesho NaneNane

    Nawaza kwanini Kwenye maonesho yanayofanyika hapa nchini mfano Nane Nane au Sabasaba, kwanini vyombo vyetu vya ulinzi kama JWTZ au Polisi Nawao wasiwepo kuonesha vifaa na kutoa elimu mbalimbali kwa wananchi, Na sio kusubiri mpaka Siku ya Uhuru, Muungano au mapinduzi ndio tuwaone!. Pia itajenga...
Back
Top Bottom