Nilichogundua wengi hii barabara hamjaipita ukipita utaelewa kwanini wamefanya hivyo maana hicho ni kipande kidogo cha design hiyo viko vipande zaidi ya 20 kama hivyo unadhani mhandisi atajenga madaraja mangapi .... madaraja huongeza gharama zaidi katika ujenzi wa madaraja.
yes mkuu hii ni sahihi sanah tena hiyo 55k hata mwingine akitaka kutumia ni well and good huwazi sio mtu akae niwashie hotspot aisee ni mateso, na kama fiber ikisambaa mitandao ya simu watanyea debe aiseeee bora ya 55k fulu mzuka
sidhani kama itakua hivyo kumbuka yeye ni monopoly isp nyingi na mitandao ya simu inategemea kununua data kutoka kwao sidhani kama itakua expensive ila bora hata hiyo 60k au 70k ila unauhakika haupimiwi bundle wewe unaflow tu wakati ukipiga hesabu ya bundle unalotumia mwezi mzima la kupimiwa...
mkuu upo maeneo gani hapo unapotaka kufunga mie nitawasumbua sana sema pia watakosa wateja hivihivi kwa kutokua na umakini wa kuzingatia wateja wao yaani biashara tunaibembeleza wakati wao ndo wanafaidika kwa kupata mapato
yaani unataka uangalie documentary ya maana hapo unawaza data doooh ndo mana netflix watumiaji ni wachache labda sasa hapo netflix itapata soko sana huku tanzania kupitia hizi fiber
mkuu nikipata hii ya ttcl hawa mitndao ya simu watanisikia kwenye bomba aiseeee then mie naona mitandao ya simu nao hawajiongezi kuhusu hili suala la fiber watu tunataka big data
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.