Recent content by General directory

  1. General directory

    JamiiForums Tanzania Natafuta mahala pakufanyia field

    Naenda kama ipo nishtue mkuu
  2. General directory

    JamiiForums Tanzania Natafuta mahala pakufanyia field

    asante mkuu, Eng. Ezrael masawe ni Lecturer wetu, nafasi zimejaa kwake alitoa nafasi sita tuu darasani
  3. General directory

    JamiiForums Tanzania Natafuta mahala pakufanyia field

    umenena mkuu big up. nashukuru, Ngoja tuwaskilize na wadau wengine
  4. General directory

    JamiiForums Tanzania Natafuta mahala pakufanyia field

    Habari zenu wa kuu, Mimi ni mwanafunzi wa first year bachelor degree in Water resources Engineering, chuo Water development and management institute. natafuta field popote penye mradi/project ya building au wa maji kwa hapa mkoani Dar es salaa. natanguliza shkrani. Modules of two semester...
  5. General directory

    JamiiForums Tanzania Mwenye mwangaza wa kutumia boom

    mkuu naomba unipe namba yako ya simu tuuongee zaidi
  6. General directory

    JamiiForums Tanzania Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

    ni PM namba za simu za huyo mdogo wako nimuelekeze cz mimi nipo hapa chuoni now!
  7. General directory

    JamiiForums Tanzania Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

    Kwa wale tulio chaguliwa kujiunga na masomo ngazi ya shahada kwa mwaka wa masomo 2014/2015, naomba tufahamiane hapa nakama lipo la kujuzana tuambizane wakuu. Natanguliza shukrani.
  8. General directory

    JamiiForums Tanzania First years wa mwaka huu tuwaitaje?

    Waitwe BRN
  9. General directory

    JamiiForums Tanzania TCU warahisisha zoezi la kuona selection

    Naomba kuangaliziwa jina Amate stomin
  10. General directory

    JamiiForums Tanzania Selection za Water Development Management Institute vipi?

    tupo wote mkuu kwenye hilo swali.
  11. General directory

    JamiiForums Tanzania Je Unajua Aliyevujisha Post?

    Saa 4 asubuhi
  12. General directory

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    Mkuu umenielewa poa kabisa, na umejibu swali langu exactly as I want.
  13. General directory

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    wekama hujui kitu kaa kimya mkuu hujalazimishwa kujibu!. Wewe ni sawa na wela watu ambao unawaulizia TCU iko wapi anakuambia ipo dar, wakati kila mtu anajua ipo dar, tatizo nikwamba hajui ipo dar sehemu gani. So, ukiulizwa kitu kaa kimya otherwise weka directed link to the concerning topic.
  14. General directory

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    nani hajui kwamba wana web??!!
  15. General directory

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    mi nimeuliza humu, kwani sijui kama wana website?. Kama huwezi kusema walichokiandika kwenye hiyo web kaa kimya wanaojua watuhabarishe!
Back
Top Bottom