Recent content by Gen zy

  1. G

    JamiiForums Tanzania Meta wafuta video ya utupu na kukoroma mitandaoni

    Anakoloma kama chatu
  2. G

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dr. Mwigulu wasaidie wahadhiri na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Makumira walipwe mishahara yao, hao nao ni binadamu na ni watanzania, miezi 3?

    Waandike vitabu na machapisho wauze wapate pesa kuliko utumwa wa kusubilia mishahara
  3. G

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Hilda Newton Kumchafua Waziri Mkuu Hakikubaliki Popote Pale Duniani na Hata Mbinguni. Siku Yaja Atakapolipa Gharama yake Kwa Machozi.

    Yaaani huyu baba ameacha mwanamke mzuri nyumbani kwake anaenda kufanya uasherati na mwanamke wa hivyo jamani!! Hivi watoto wake wakiona hizo clip wanajisikiaje
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mawaziri wengi na viongozi wa zamani washakimbia Nchi ili kunusuru Maisha yao

    Hivi musigwa yupo wapi nowdayz
  5. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Duh!! Huyu mungu jamani! Hivi kweli huyu bonge kafa kweli
  6. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Huyu mama anipitia nyakati ngumu jamani
  7. G

    JamiiForums Tanzania Uteuzi na Uhamisho wa Wakuu wa wilaya, Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Septemba 28, 2026

    Wameandika haraka haraka ili kudivage mjadala wa mgomk wa madereva matokeo yake wamekosea
  8. G

    JamiiForums Tanzania Dereva Adam Idd: Leseni ikichukuliwa, ukienda kwa RTO unaombwa utoe Shilingi 500,000 ili leseni yako isifungiwe

    Asa kwanini wasiombe serikali iwaongezee mishahara kuliko kuzalilika hivi
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva waingia ukurasa mpya, Mabasi yatimuliwa Stendi ya Magufuli huku Polisi wakiiba Plate number

    Kwani stend siimejengwa kwa kodi zetu jamani iweje watu watimuliwe
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Hivi huyu katuga ana shida gani jamani! Ila waislamu wana roho mbaya
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Hahaha hy katyuga sjui kama atatetea uhaini
  12. G

    JamiiForums Tanzania Maneno ya mwisho ya Tundu Lisu, leo 28.9.2026

    Hatari jamani hii kauli ni ya ujasili usio wa kawaida
Back
Top Bottom