Recent content by GEMO

  1. GEMO

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Habari mwalimu, external wireless microphone kama hii Bei gani kuagiza?
  2. GEMO

    Usafiri unakwamisha vijana wengi kujinasua kiuchumi.

    Kuweza kufikisha bidhaa yako sokoni, kwa wakati na kwa Gharama nafuu ni hitaji la msingi la Kila biashara Lazima kila uwekezaji uupime kwa vigezo mbali mbali ikiwemo return on investment Lakini pia uangalie Kila option iliyopo, kwa mfano uliopo je ni lazima uwe na van ya kwako ili usafirishe...
  3. GEMO

    Ugonjwa wa Masundosundo mwilini na sehemu za siri (Genital & Skin Warts)

    Dettol inafanya kazi vizuri sana nimepata warts nikatumia dawa za kunywa (alcovir), za kupaka(alcovir+ beta derm) mpaka sindano havikupungua hata kidogo. Nimeuona huu Uzi 22 Novemba, tarehe 23 nikanunua Dettol na kuanza kuitumia mpaka sasa nimeona mabadiliko makubwa Kuna utitiri wa warts...
  4. GEMO

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Dodoma nje kidogo ya mji
  5. GEMO

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Njoo tufuge kuku wakati unaendelea kufukuzia ajira...Ukiipata una expand business yako
  6. GEMO

    Ninawezaje kupata udhamini wa masomo kwenda kusoma Masters Degree kwa vyuo vya hapa Tanzania ama nje ya Tanzania?

    Usikate tamaa mkuu.....hiyo ni ndoto yangu pia....mm najichanga mwenyewe
  7. GEMO

    Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

    Kuku ilikuwa kwa ajili ya kuwaaminisha wateja wake[emoji28] Ukikaribishwa ukaona kuku tele unatoa mpunga
  8. GEMO

    Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

    Asante sana mkuu....kwa hoja zangu mwenye kuelewa kaelewa.
  9. GEMO

    Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

    Imetosha mkuu wachangiaji wengine wataendelea nilipoishia au palipopelea [emoji120] Kesi itasomwa August 24 Tukiendelea kufuatilia tutajua mengi. Asante.
  10. GEMO

    Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

    Pia anadaiwa kujihusisha na biashara ya upatu kwa kukubali na kukusanya fedha kutoka kwa umma, akijifanya kwamba watafanya ujasiliamali wa ufugaji wa kuku na wangepata faida ya asilimia 70 ya mtaji wa awali waliowekeza kwa miezi minne na asilimia 90 ya mtaji wa awali waliowekeza kwa kipindi cha...
  11. GEMO

    Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

    Nianze na la UPATU SCENARIO ONE ; Upatu una operate hivi.... Tufanye mwezi January alikusanya milioni 200 hawa watu watahitaji kulipwa mwezi wa nne/tano kulinga na tarehe walizowekeza. Maana yake Faida = 70% ya 200m ni 140m...faida milioni 140 UWEKEZAJI 200m Jumla itabidi awalipe...
  12. GEMO

    Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

    Nilitaka uone mashtaka yanayomkabili ili mjadala tuutazame pia kwa jicho la kiserikali/kisheria. Nataka tuone kwanini wamemkamata na kumshtaki huyu jamaa.
  13. GEMO

    Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

    Mashtaka 7 1.Kuendesha biashara haramu ya Upatu 2.Kukusanya mtaji kwa umma bila kuwa na leseni. 3-7.Matano yanahusika na utakatidhaji fedha Tuwekane sawa HAJASHTAKIWA KWA KUTAKATISHA FEDHA PEKEE.
  14. GEMO

    Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

    Mfanyabiashra na Mkazi wa Oysterbay jijini Dar es Salaam, Tariq Machibya miaka (29) maarufu kama Mr Kuku, akiwa kortini Kisutu kusubiria kusomewa kesi inayomkabili. Mfanyabiashra na Mkazi wa Oysterbay jijini Dar es Salaam, Tariq Machibya miaka (29) maarufu Mr Kuku, amefikishwa katika Mahakama...
  15. GEMO

    Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

    Kuna watu wanauliza yeye anapata nn sio swali la muhimu.... Iko hivi yeye amebeba RISK 100% kwa maana hiyo ATAWALIPA WAWEKEZAJI NO MATTER WHAT Sasa umeweka 7m baada ya Miezi 4 akakupa 14m.. Initial investment 7m Faida 7m Swali la yeye anapata nn linaanzia hapo kwenye hilo Gawio ulilopewa...
Back
Top Bottom