Recent content by Gekondo

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ndugu Rais tulibipu tukaingia, na sasa tunabipu kutoka

    Ni vizuri mtu kama hana cha kuongea akakaa kimya. Mfano, mtu anasema jamii inahitaji Maji,madawa n.k. Lakini MTU huyo huyo anabeza uchumi was ndege. Anashindwa kuelewa kuwa fedha zitakazotokana na uchumi wa ndege ndizo hizohizo zitatumika kununua madawa na kuleta Maji kwa jamii. Rais wetu wewe...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

    Hivi Siku hizi neno "Watanzania" limeanza kufifia na watu wanaanza kujiita wakaskazini. Ebu tuache kitu hicho jamani kitatugawa Watanzania!
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi

    Annael that is the truth ever opposed !
Back
Top Bottom