Recent content by GEITA NAFAKA BORA

  1. GEITA NAFAKA BORA

    Kipi bora kwa graduates kati ya mtaji wa milioni 4 au kuwa mwalimu wa primary mshahara wa Tsh. 300,000

    3000/=,kwa 29,00/= grade one 32,00/= lakin unategemea kushuka maan saiz n wakat wa mavuno
  2. GEITA NAFAKA BORA

    Kipi bora kwa graduates kati ya mtaji wa milioni 4 au kuwa mwalimu wa primary mshahara wa Tsh. 300,000

    Asante Sana Evelyn Salt wazo lako aseelipopoa Sana nashukurmnooo Tena Sana
  3. GEITA NAFAKA BORA

    Kipi bora kwa graduates kati ya mtaji wa milioni 4 au kuwa mwalimu wa primary mshahara wa Tsh. 300,000

    DDu Du! Apa mkuu umenifungua kiakil kamapele asee. Namshukur San nitarifanyiakazi maan naona wazo limekaa poa Sana. Namshukur San.
  4. GEITA NAFAKA BORA

    Kipi bora kwa graduates kati ya mtaji wa milioni 4 au kuwa mwalimu wa primary mshahara wa Tsh. 300,000

    Habarin ndugu Wana JF. Nimekaa nikafikiria sana kati ya pande hizi mbili zinazokinzana. Hivi nikipi kinaweza kuwa bora zaidi kwa mhitimu wa elimu ya juu ambaye hana Ramani yeyote maisha lakini ndoto zake ni kuwa mkubwa kiuchumi. Mara ghafra tuu ikatokea hii option. Je wewe kama mwanaJf...
  5. GEITA NAFAKA BORA

    Biashara ya Mazao au Nguo

    Ndugu zangu, Naomba kuliza ipi ni biashara Bora unayoweza fanya mkoa wowote ule Tanzania kati ya nafaka na nguo? Naombeni ushauri jamani nipo Geita.
  6. GEITA NAFAKA BORA

    Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

    Nani anajua chimbo la kununua vifaa vya ujenzi kwa Bei nafuu kwa maeneo ya Kanda ya ziwa?
Back
Top Bottom