Kiukweli inahitaji wataalam na uzalendo wa hali ya juu. Ni vile tunaona awamu hii ya JPM yeye hana makandokando hatuna shaka na pia yuko serious kusaka hela nadhani kazi ni kwa wataalamu wizara ya fedha.
Tanzania is set to collect millions of dollars in capital gains tax following Shell’s acquisition of BG Group, barely two years after banking $258 million in similar payments over the same gas resources.
On Monday, Shell officially acquired BG Group and its assets in a $55 billion deal, touted...
Franklin Roosevelt na JFK wote walikua wakiumwa Parkinsons na FDR ndiye rais aliyependwa zaid marekani akatawala vipindi vitatu. Wote hawa walikua ktk wheelchair. And so it happens when one is sick they aren't scared as well. It's often mostly presidents are well over 50 they have little to lose...
Ila Mzee Mwanakijiji bila 'goli la mkono' CCM itaendelea kutawala tu. Aliyeijenga na kuibomoa Tz ni Mwalim alijenga iman kubwa sana kwa hichi chama kimekua pango la wezi. Ila kwa wapinzani kuichukua nchi itawekwa historia upya na hiyo katiba mpya wanayoitaka ukawa itapatikana kinachonikosesha...
yaani wazee siasa za ulaya tofauti na bongo ila naamini Mungu yupo. nijuavyo (uwe huru kunirekebisha)
Ulaya ambapo demokrasia imetoka kuna mfumo wa mrengo 'wa kushoto na kulia' kushoto mara zote ni malofa ila ni wengi hiyo ndiyo nguvu yao [wafanyakazi/watu wenye kipato cha kati]
na kulia ni...
Mwanakijiji CDM nawashangaa ila inabidi nikushangae zaidi mchambuzi wangu makini hujui yale ni maamuzi halali ya chama chao na wao wameamua wakaja na press ya kumtangaza Lowasa kuwa mgombea part of democracy ni kuheshimu hilo pia wao wanadhamana na wanajua wanachofanya mie sidhani ni uamuzi...
It's very naive to think that mengi is micromanaging everything i.e all the media houses, I think all have their managers. Personally I don't mind Mengi or his businesses and it's very easy for all of us to lose track of the obvious - the Escrow saga. Spin-offs like these always take the...
IN SUMMARY
-----------
INCREMENT:
Middle level cadres and managers will be paid between Sh12.6 million to Sh28 million, if the proposals are approved
Documents seen by The Citizen show that TPDC wants its lowest paid office attendants and drivers to earn Sh5.4 million and the topmost CEO Sh36...
Wananchi wanataka mabadiliko ya kisiasa hawajajua mfumo ndio mbovu. hitaji la kubadilisha chama ndilo msukumo wa kila kitu bongo. Na ikiwa siasa ni kucheza na mind za watu basi sie tunachezewa sana na serekali na wapinzani vilevile
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.