Recent content by GedsellianTz

  1. GedsellianTz

    Gari aina ya Toyota Honda Vesel

    Ndugu wanajamii mwenye ujuzi wa hii gari anipe dondoo zake...kuanzia upatikanaji wa spare...fuel na bei yake.
  2. GedsellianTz

    Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Huku tunapoelekea nyumba ya jirani inazidi kubomoka, bila shaka baada ya azam kuachana na Ongala tutegemee taarifa yoyote kuanzia sasa katika viunga vya azam maana nawaona msimu huu wanataka kuvunja benki.
  3. GedsellianTz

    EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile

    Nadhani trailer yake tu inaonesha ubora wa filamu husika.
  4. GedsellianTz

    EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile

    Wakuu habari za jumatano, natumaini mko vizuri na mnaendelea na majukumu ya kila siku, filamu ya EONII itakua filamu bora kuwahi kutengenezwa Tanzania na wasanii wetu. Kwangu mimi hii ndo filamu nadhani yenye uzamini mkubwa kutoka Azam na ndio maana kimetengenezwa kitu bora zaidi chenye...
  5. GedsellianTz

    Salim Kikeke kurithi mikoba ya Dkt Ayoub Ryoba TBC?

    Habarini wanajamvi, bila ubishi wowote mtangazaji nguli wa BBC SALIM KIKEKE kutangaza kustaafu utangazaji katika shirika kubwa la BBC imani yangu ni mpango madhubuti kuwa anaandaliwa kurithi nafasi ya Dkt Ayoub Rioba wa shirika la utangazaji TBC, ni suala la muda tu tutasikia akiteuliwa na Rais...
  6. GedsellianTz

    Wakuu ni Benki gani International iliyo bora kuitumia kwa hapa Tanzania?

    Vipi hii Standard Chartered Bank, inaweza kuwa bora?
  7. GedsellianTz

    Wakuu ni Benki gani International iliyo bora kuitumia kwa hapa Tanzania?

    Wakuu habari za jioni, Naomba kufahamishwa ni benki gani hizi za International ambayo ipo vizuri katika utoaji wa huduma zake iwe ndani ya nchi hata nje ya nchi?
  8. GedsellianTz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi hawa helabet ukitoa hela inakufikia kweli?? Au mpaka muanze kupigiana simu
  9. GedsellianTz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi hawa hela bet ni kampuni ya ukweli au ndo matapeli wameamua kucopy kila kitu kutoka 1xbet?? Maana hata uwekaji wa pesa nina mashaka nao sana
  10. GedsellianTz

    Mgomo Kariakoo: Wafanyabiashara wakutana Mnazi Mmoja

    Naona wafanyabiashara wameanza kutoa ya moyoni, na umeme ukakatika aisee hii Tanzania ni hatari
  11. GedsellianTz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    International bank gani zinakubali kuweka na kutoa pesa 1xbet
  12. GedsellianTz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Namna gani unatumia na mtandao gani?
Back
Top Bottom