Nilitaka nipite hiiviiii bila kuandika chochote kile. Umati nimeuelewa saaanaa km nilivyouelewa ule wa Lowasa. Ila mnapokwama wapinzani ni kupiga kura.. Kwa nn nasema kupiga kura, kwa sababu hapo utakuta waliojiandikisha kupiga kura ni 20% tuu ya nyomi lote uonalo... Pia vijijini ndani ndani...
Karibuni, viwanja vipo Bagamoyo karibu na ofisi za mradi wa malaria kwa mkoa wa pwani. na km 1 kutoka bahari ya Hindi.
MOROGORO, vipo Morogoro Kwa mkundi makunganya.. bei kwa square metre ni sh 10000 Jirani na ENGEN PETROL STATION. UMEME UPO. BARABARA YA KWENDA DODOMA,, hata kiwanja cha kujenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.