Walikufanyia nini..ila si mfuasi uyo,wafuasi wa huo mchezo wanataka mpaka ndoa ifungwe,halafu ukilifanya hilo we ushajitoa kabisa na yeye,ukimuona anaupemda ujue kwake limebaki jina tu sio ufuasi,tunachoamini cheupe kikiingia doa huonekana ndo imekua shida .
.
Yaani jamaa unaonekana ulipitishwa kwenye uo mchezo wakati wa udogo wako na huenda ulishawishiwa kwa kuambiwa hivyo sio kwa pesa, ulidanganywa sana mtume kafa na miaka 63 ,qurani hadithi zinataka mtu aliefanya hivyo kuuwawa ndo mafundisho aliyetoa mtume sasa iweje useme hivyo..angalau...
Watoa rushwa na wapenda mtelezo walinyooka kweli..kazi kwa cheti cha kununua uwajibikaji inatokea wapi?izo kasoro
Wapenda rushwa na wanunuzi wa vyeti lazima ..unafkiri uwajibikaji unatokea wapi mpaka cheti cha udaktari mtu anafoji...kama biashara inavyoweza zaidi na makabila flani basi...
Walioona rahisi wataweza hawakujua wenzao walikuja na nguo wakati wao wakiwa na ngozi .....sasa zimekua nchi madeni ...wakati wao wanatengeza self driving vehicle ..nyie ndo mnafikiria kuwezesha kuwepo viwanda vya kuassemble vehicle...wazuri wakukariri maandishi ndo mbinu inayowapa elimu wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.