Recent content by GCM_RCM

  1. G

    JamiiForums Tanzania Msitiri anahitajika (MUME)

    Tunashukuru kwa kutukumbusha (Bi.Khadijah !!!, radhi ya Allahu kwake)
  2. G

    JamiiForums Tanzania Msitiri anahitajika (MUME)

    Mkoroshokigolihunitakii mema jamani, nduguze watasema namuonea ndugu yao. Hivi unajua ndugu wanavyokuaga wakorofi hasa kwenye mambo ya umri, yani bora ingekuwa tunalingana, lakini hii ni tofauti ya kuonekana. Kumbuka wanaume hamchoki haraka. halafu jamani unafananisha na Bi Aisha, wale...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Msitiri anahitajika (MUME)

    Aamin. Nakushukuru tena na tena. Hekima yako ni kubwa mno. Mola akujaalie pale linapokupungukia!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Msitiri anahitajika (MUME)

    Ahsante sana Junior. Cux
  5. G

    JamiiForums Tanzania Msitiri anahitajika (MUME)

    mh! haya ndugu nimekuelewa. Nashukuru kwa muda na ushauri wako.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Msitiri anahitajika (MUME)

    mh, hapo nipo njia panda kidogo. Ndio nani huyo? Kama hutojali tafadhali.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Msitiri anahitajika (MUME)

    Nashukuru kwa kuonyesha nia niachiemimi. Barikiwa sana.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msitiri anahitajika (MUME)

    Nimekuelewa bwana Kikoozi, ila mbona umri wako ni mdogo sana. Tafadhali usinielewe vibaya ila hiyo tofauti ni kubwa. Nakuombea upate ambae utakuwa umemzidi kidogo jamani, sisi wanawake tunachoka haraka sana na hivyo ni muhim kuoa ambae ni mdogo kwako ili mzeeke wote mkiwa na nguvu. Nashukuru...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Msitiri anahitajika (MUME)

  10. G

    JamiiForums Tanzania Msitiri anahitajika (MUME)

    Jamani LOFA ndio nini? Hebu niambie vizuri hapo.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Msitiri anahitajika (MUME)

    Hapana shaka Kayaman, nimejua kwamba ni mzaha tu. Jamani dini hapo kazi kwelikweli, yani imani ni kitu muhi kweli kwangu. Najua utapata mwingine mwema haswaa na ambae mtapendana kwa dhati ya nyoyo zenu. Ubarikiwe sana!
  12. G

    JamiiForums Tanzania Msitiri anahitajika (MUME)

    Nashukuru sana kwa kunipa moyo!
  13. G

    JamiiForums Tanzania Msitiri anahitajika (MUME)

    Kweli hapa sijui nisemeje, hili sijui tunalipimaje jamani. Nashukuru lakini kwa ujumbe.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Msitiri anahitajika (MUME)

    Hapo sasa ndio ujuwe huyo kakomaa, anajua maisha sio shule tu. Tafadhali lichukulie hili positive! Maisha yanafundisha mambo mengi, ndio maana tukaambia kuwa uyaone, sasa tunayaona hayo yote.Niirahisi kujifunza kwa vitendo kuliko kwa kusikia tu, nimejifunza, nimeona na nimekiri haya yote. Ila...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Msitiri anahitajika (MUME)

    hahaha, umenipa furaha katikati ya majonzi! safi hiii........
Back
Top Bottom