Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu;
kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa Kristo ujengwe. (Efe 4:11-12)
Huduma ya Unabii na Mitume ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Wapo walio jaribu kuangamiza huduma hizi hapo zamani, mwisho waliangamia wenyewe, kitu cha kufanya ni kumwomba Mungu akupe macho ya rohoni (spiritual discernment) uweze kujua yupi wa kweli na yupi wa uongo. Kwa wale ambao bado hawamwamini...
Kama unasoma Biblia, mbona hayo ni mambo ya kawaida sana, kwa watumishi wa Mungu aliye hai, lakini kama usomi wala huamini Biblia, ndio utaona ni jambo la ajabu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.