Kwa upande wangu kama Mimi baba yake nmetafta nmepata hicho kidgo nyy atatafta atapata ntamuombea heri kwenye safar yke na utaftaji nadhani utkua urithi Bora.[emoji120][emoji120]
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Mwanaume unaamua kwa reason ukishaona mwanaume anaamua kwa hisia u're in wrong direction
Jmaako tangu nianze kusoma hiki kisa anaamua kwa hisia so yeye ndo mleta matatizo the only solution hapo n kmuacha uyo malaya full stop.
I can guarantee u only two months utaleta kisa hapa.
Bnafs naomba kujua umri wako for me kma ww n kijna ni uoga kuwekeza hiyo pesa kwenye real easte maybe ufanye 50/50 aslmia 50 uwekeze kwenye nyumba alafu 50 uwekeze kwenye biashra.
Kama n mzee kuanzia 50's uko sawa wekeza huko 100% biashra n ngumu yec but kma kijana lazima upambne na hizo...
Kwa nafasi uliyo nayo n ngumu kufanya au kupata huo uhuru na control yko binafsi kwa sbb moja ty huna mwanaume ambae watu wakiwa wnkuja kwko wnjua kbx pale Kuna mwanaume.
Kwaio kitu Cha kfnya ulshkosea toka mwanzo inwezekana ulkua na kbur kwa jmaa kw sbb una mzd kipato au hkumpa uongoz mty wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.