Leo dunia nzima inalia sababu ya paris-ufaransa kila mtu anaomba kwaajili ya amani ya ufaransa kitu ambacho ni kizuri.mpaka sasa ufaransa imepoteza takribani watu 120 katika mashambulizi yaliyofanywa jijini paris lakini kanakwamba haitoshi mtandao wakijamii wa facebook umeunga mkono maombolezo...
OPEN LETTER TO TANZANIANS
Dear
Today everything comes under the laws of competition and the survival of the fittest where the powerful feed upon the powerless. As a consequence, masses of the people find themselves excluded and marginalized: without work,without possibilities,without any means...
ukilala katika kitanda ambacho kimezungukwa na moshi mzito wa koroboi huku mbu wengi wakipiga kellele na kukuuma huku upepo mkali ukivuma kupitia dirisha lililo zuia na kipande kuukuu cha khanga huku moyo wako ukikuuma kwa woga baada ya kujihakikishia kuwa mlango wa nyumba yako ulojengwa kwa...
zit ana umri gani ndani ya ACT na je anasifa ya kuwa kiongozi wa juu? kwa katiba ipi ya ACT toleo la kwanza? au lile la pili la kina mwigamba na prof kitila?
hivi yule mwenyekiti wa kwanza wa ACT yuko wapi na aliachje madaraka na ili iweje na ulikuani mpango wa nani wakati ana kesi gani na katiba ya ACT ilkafanywaje ili kumsaidia nani?
NAOMBA MAJIBU NDO UTOE KWAHERI YAKO
Mwanzoni ulipotakiwa kufukuzwa CHADEMA ulisema utafia CHADEMA na mimi hapo hapo nikapata kujua kua wewe ni mzalendo wa kweli nami nikakuunga mkono nikasahau yote waliyokuzushia juu ya ACT. Ila juzi pale Mwembeyanga ulinitonesha kidonda kwa kutaja wale watanzania walioficha mabilioni ya fedha nje...
hi greater thinckers one challenge below👇👇respond pls
nani anapaswa kulinda haki ya kupiga kura kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ikiwa serikali kwa makusudi huvifunga vyuo wakati wa uchaguzi ingali hali wanafunzi hao wamejiandikisha kwenye vituo jirani na vyuo vyao???
welcome for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.