Recent content by gayo

  1. G

    Natafuta bata bukini na kanga

    Nina bata bukini wengi karibu tuongee biashara. nicheki PM Sent using Jamii Forums mobile app
  2. G

    Nauza bata bukini wadogo

    Jambo lingine tena la muhimu kuhusu hawa bata bukini ni kuwa wanaishi umri mrefu sana (zaidi ya miaka 20). Nimeamua kupunguza bei atakayetaka wote 6 bei ya mwisho ni 600,000/- na kwa mmoja ni 120,000/- karibuni sana
  3. G

    Nauza bata bukini wadogo

    Bata kweli mkuu! unaruhusiwa pia tutembelea uwaone uulize na majirani. Nafuga kama njia nyingine ya kupata kipato na chakula kwa familia ila pia ni muajiriwa sekta binafsi.
  4. G

    Nauza bata bukini wadogo

    Ndugu bado bata bukini wapo na kwa anayehitaji tuwasiliane tafadhali. Anaweza kuni PM
  5. G

    Nauza bata bukini wadogo

    Ungekuwa unawafuata mwenyewe tungeweza kuongea chief. Kusafirisha hawa ndege kwa basi ni hatari
  6. G

    Nauza bata bukini wadogo

    Asanteni kwa michango yenu! Ambaye atakuwa anahitaji tuwasiliane bado wapo. Nishauri wenzangu mjaribu pia kufanya research ili muwajue zaidi
  7. G

    Nauza bata bukini wadogo

    Habari msomaji! Kama kichwa cha habari kinayoeleza ninauza bata bukini wadogo wenye umri wa miezi 6. Idadi yao ni 6 na kati yao madume mawili na majike manne (4). Napatikana mkoa wa Dar Es Salaam eneo ni makongo, kwa taarifa zaidi tuwasiliane kwa private message (PM). Bei ni 150,000/- kila...
  8. G

    Mliowahi kutapeliwa na kijana Kitomali wa Wazo, Dar nimemtia mbaroni

    Huyu kitomari ndiyo yule wa bata mzinga wa arusha? Kama inawezekana weka namba yake maana yule wa arusha aliyekuwa anatapeli bata mzinga aliniumiza na mimi Asante
  9. G

    Natafuta shamba la ekari 1 hadi 2

    Habari ndugu msomaji! Natafuta shamba la ekari moja hadi mbili maeneo ya kiluvya hadi kibaha. Ambaye atakuwa nalo au anajua mwenye nalo tafadhali tuwasiliane kwa PM au aweke details zake hapa. Asante na Mungu akubariki!
  10. G

    Namba za utambuzi wa mifugo zinauzwa kwa bei rahisi sana

    Asante chief! Hivi naweza kupata wapi zile kengele za kuvalisha madume ya ngombe au mbuzi?
  11. G

    Wanyonge sasa tuna furaha, Serikali ya awamu ya tano ni ya wanyonge

    Neno la Mungu linasema watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa
  12. G

    Macbook Pro core i7

    Chief, bado comp ipo?
  13. G

    Vifaranga wa kienyeji

    Mko mikoa ipi? Kama unazo picha weka tuone. Kama mteja nawezaje kutofautisha kifaranga cha wiki kenbro na israel
  14. G

    Naomba muongozo kuhusu Ufugaji wa kuku

    Unauzaje kijana?
  15. G

    Vifaranga wa kienyeji wanapatikana

    Mkuu tafadhali weka picha pia
Back
Top Bottom