Recent content by gauz

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwa wadau wa SUA mliokwisha ripoti chuoni

    Mbona bima ya afya wanasema ni laki 1 na wewe unasema elfu 60 tu? Hii imekaaje? Jitahidi uwe umesha downlod admission letter utaiona hiyo elfu 60.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwa wadau wa SUA mliokwisha ripoti chuoni

    Kifupi nimeshauri tu km inawezekana ni bora ukalipia huko huko benk ni kwel morogoro zipo na kuhusu medcal fee kama una kitambulisho cha bima ya afya lipia 20000 badala ya 60000.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kwa wadau wa SUA mliokwisha ripoti chuoni

    Hakikisha una admission letter ambayo utai downlod kwenye profile yako ya chuo pword kaangalie kwny email yako na vyet vyako vyote kop 2,na ushauri wangu km upo mkoan lpa kabisa michango yote kwan benk za huku znajaa sana pia km una bima ya afya kwenye medcal fee lipa 20 badala ya 60,ila mambo...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Je unawashauri nn wadogo zako

    Nawatakia Mtihani Mwema,Mungu Awatangulie.
  5. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Kada wa CHADEMA bi. Mwacheni Kinongo afariki dunia

    Poleni sana,bwana alitoa na bwana ametwaa,jina lake lihmidiwe
  6. G

    JamiiForums Tanzania Breaking newz from heslb (majina mengine yatoka tena)

    Mbona hakuna tangazo jipya au stail n ileile?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Jamani ukitaka kubadili kozi tcu sasa hivi inawezekana

    Kubadili kozi ufanyika vyuoni lakini kubadili chuo hii sina uhakika sana lakini ukiwapigia TCU wana majibu mazuri zaidi mana walitoa nafasi hiyo ila muda ulishakwisha.
  8. G

    JamiiForums Tanzania HESLB: tuliokosa mikopo kesho(ijumaa) tukutane ofisi zao mpaka kieleweke..

    Pamoja sana hadi kielewe.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa kiatu chako kinaweza kukuambia umri wako?

    Hata ukiweka namba ya kiatu sifuri inakupa jibu huu uongo.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Wana sua 1st year

    Nenda kwenye email yako utakuta username na password ya kuingia kwenye profile yako ya chuo [suasis] hapo uta downlod addmissin letter na student invoice pia utaona registration namba, over.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Hi Wana Jf

    Mi Ni Memba Mpyaaa Naomba Nipokeeni.
Back
Top Bottom