Okaaaay! Kwa mchezo huu haka kasimu ni kakuweka kwa kapu Mkuu,yap ni hivyo tu ama kama ingekuwa ni ww ungekasaidiaje? Of coz kanatoa ushirikiano kwa mambo mengine ya kawaida,but imprtant mamboz ndio tatizo kama izo Apps sasa
Waapendwa Wa Mungu mm naitwa Gattieman Ni Msambaa na Hilo Ni Jina langu la ukoo.
Shida yangu NATUMIA WINDOW PHONE 8 LUMIA Jaman yanitoa ushamba mwenxenu. Siwezi kuinstall App yoyote Chochote yani zaidi ya Miziki kwa kutumia Google. Mpka nikahisi window phones Ni Upuuzi Tu ILA nilipoingia huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.