Recent content by gasper_lyakurwa

  1. gasper_lyakurwa

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    mossad007 naomba uni PM namba yako. mimi binafsi nililima Nyanzwa msimu huu ulioisha. nimejifunza mengi na kupata changamoto nyingi sana. kwa sasa plan ni kulima tena lakini nataka nisogee barabarani. wiki iliyopita nilienda kufanya survey ruaha mbuyuni , msosa na kware. nilipapenda sana kware...
  2. gasper_lyakurwa

    Kumbe kitunguu saumu kinalipa hivi

    Si kwenye email kuna sehem ya ku attach document? kwa huku Jf sioni ila ukifungua email yako unaweza attach na kutuma
  3. gasper_lyakurwa

    Msaada kwenye mobile native app development by using phonegap and cordova framework

    Hallo jf members… poleni na majukum… mimi binafsi ni developer mdogo ambaye napenda sana kujifunza... mara nyingi ugumu unakuja pale unapokuwa peke yako na gugo tuu… nilishatengeneza native apps za android lakini baada ya kuangalia technology inavyoenda nataka nitengeneze hybrid app kwa kutumia...
  4. gasper_lyakurwa

    Kumbe kitunguu saumu kinalipa hivi

    aisee unaweza ukanitumia hiyo pdf through mail? gasperlyakurwa@gmail.com
  5. gasper_lyakurwa

    Naomba kufahamu maeneo yanayolimwa vitunguu swaumu

    Habarini wajasiriamali. Mimi binafsi ni mfanyakazi na mkulima. Ninalima vitunguu maji huko Mtandika mbele ya Aljazeera. Nafurahia kulima ingawa nakabiliana na changamoto lakini nashukuru Mungu nazikabili kwa uwezo wake. kwa sasa nataka nianze survey kwa ajili ya kulima kitunguu swaumu...
  6. gasper_lyakurwa

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Nimesoma views na mimi nimefaidika sana. shukrani wote. Mimi pia nipo dar heb malila naomba uni PM nijue mnakutana wapi na lini. Vile vile natafuta sehemu wanazolima vitunguu swaumu nikafanye survey. mimi binafsi pia nalima vitunguu maji maeneo ya mtandika mbele ya Aljazeera. kijiji kinaitwa...
  7. gasper_lyakurwa

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Aisee hongera sana mossad007. Mimi binafsi nalima kitunguu ndo nimeanza mwaka huu 2015 maeneo ya mtandika ndani huko kuna kijiji kinaitwa nyanzwa. Evaluation uliyoitoa ipo sahihi kabisa. binafsi nimekutana na changamoto kama. umbali maana kutoka barabarani mpaka huko kijijini ni kama 45km. na...
  8. gasper_lyakurwa

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    samahani, wewe umeshawahi kulima kitunguu huko dakawa?
  9. gasper_lyakurwa

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Please naomba unitumie contact zako kwenye PM
  10. gasper_lyakurwa

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Samahani mkuu.. naomba unitumie hiyo business plan kwenye PM naamini itanisaidia. Thanks sana
  11. gasper_lyakurwa

    Mashamba ya kukodi Ruvu

    pleasa hebu naomba nitumie na mimi contact za watu wenye mashamba ya kukodi. thanx
Back
Top Bottom