Recent content by Gasper Mwaluanda

  1. Gasper Mwaluanda

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    😀😀😀😀 Khaaaaaa! Ni hatari yani.
  2. Gasper Mwaluanda

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    Kujenga bila kupumzka.. nyumba inakua na mapungufu mengi sana
  3. Gasper Mwaluanda

    JamiiForums Tanzania Ni ujenzi gani wa kisasa ambao wewe binafsi haupendelei?

    😀 umenifrahsha hyo bati juu ya geti.. kwa kweli hua haipendezi kabsa katika nyumba za kisasa..
  4. Gasper Mwaluanda

    JamiiForums Tanzania Unajua Mungu aliumbwa na nani?

    Mkuu Mungu sio kitu wala sio mwanadam wala hafananishwi na chochote ndio maana nkasema Mungu Ni Mungu... wewe Bado hujaelewa concept yangu hapo,, iko hv vitu vyote vina mwanzo lakn Mungu Hana mwanzo,, mkuu huwez kuelewa concept ya Mungu kwa siku1,, Sawsawa na mtoto mdog huwez mpeleka shule...
  5. Gasper Mwaluanda

    JamiiForums Tanzania Unajua Mungu aliumbwa na nani?

    Unatakiwa leo ujue,, hakuna kitu kisicho kua na mwanzo kuanzia logically had scientifically,, fuatilia zaidi utagundua science imeshindwa kuthibitisha mwanzo wa ulimwengu huu kuanzia vitu vinavoonekana na visivo onekana,, science imeelezea source ya ulimwengu katika big bang theory kwamba band...
  6. Gasper Mwaluanda

    JamiiForums Tanzania Anahitajika fundi wa kuipiga plaster ukuta wa fensi

    Kama utahitaji pia fensi ya Umeme (electrical fence) nichek 0767780909 au WhatsApp 0718944022
  7. Gasper Mwaluanda

    JamiiForums Tanzania Natafuta wataalam wa madirisha ya aluminium

    Pa1 mkuu🙏
  8. Gasper Mwaluanda

    JamiiForums Tanzania Natafuta wataalam wa madirisha ya aluminium

    Mm Ni Fundi Umeme, fensi za umeme, CCTV camera, network (Lan) , motor gate, intercom pamoja na security systems... Lakn katika shughuli zangu nyingi haswa za fensi za umeme hua nafanya Kaz na mafundi aluminum.. Ndio maana nakasema anitafute nimpe connection na mafundi zangu wa aluminum
  9. Gasper Mwaluanda

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu ujenzi wa fensi/uzio wa tofali

    Kwa sasa nipo Mbeya.. Nafanya kazi mikoa yote Tanzania
  10. Gasper Mwaluanda

    JamiiForums Tanzania Nina milion 10 nahitaji kujenga nyumba Mwanza

    Na material inclusive..
  11. Gasper Mwaluanda

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kuweka shoti

    Fensi ikiwa kubwa.. Ni 20,000 kwa mita lakini fensi ikiwa ndogo hua napiga idadi ya nguzo.. ambayo mala nying inakua fever kwa mteja yaani nampa discount nzuri sanaa
  12. Gasper Mwaluanda

    JamiiForums Tanzania Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja

    Hongera mkuu.. naomba tuwasiliane ukifikia level ya kufanya wiring.. nikufanyie wiring system nzuri.. 0767780909 au WhatsApp 0718944022
  13. Gasper Mwaluanda

    JamiiForums Tanzania Msaada wa data na gharama za Kujenga Healthy centre Bukoba Tanzania

    Hongera sana mkuu.. naomba tuwasiliane utakapofikia level ya wiring ya Umeme pamoja na network.. nikufanyie installation standard nzuri za kisasa 0767780909 au WhatsApp 0718944022
  14. Gasper Mwaluanda

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru kwa mawazo yenu, kwa sasa nimehamia kwangu

    Hongera sana mkuu.. nyumba iko vzuri sanaa.. sasa usisahau kufunga fensi ya Umeme
  15. Gasper Mwaluanda

    JamiiForums Tanzania Kujenga nyumba ya kisasa kunaweza gharimu Tsh. ngapi?

    Kwa upande wa kuchukulia umeme tunaweza kuwasiliana boss 0718944022 au WhatsApp 0718944022.. coz unahitaji nyumba ya kisasa lazime utahitaji fensi ya Umeme.. tuwasiliane juu ya fensi ya Umeme pia
Back
Top Bottom