Recent content by Gaspar Nyambanila

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mawakili wako kazini kesi ya Lissu kwa Hoja hizi

    Soma chote
  2. G

    JamiiForums Tanzania Majaliwa: Mashirika ya ndege yanayokuja nchini huajiri mhudumu maalum anayezungumza Kiswahili lakini waajiriwa wale si Watanzania

    Uko sahihi, lazima je lugha si chini tatu, watanzania Kiswahili tu, ukitoka nje huko Kiswahili hakipo !!!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kisheria juu ya Hati ya Mashtaka ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu

    Sheria inasema ni Uhaini lakini alichosema Lisu na kilichoandikwa kwenye Particulars of Offense ni Uasi. Kwani Uchaguzi unaendeshwa na Nani? Government!! Nafikiri ungeeleza Uhaini na Uasi, na je hayo maelezo ya Lisu kwenye Particulars of Offense yana align wapi. Hata hivyo DPP anaweza...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tutafakari pamoja: Waziri Mkenda anaposema wasaidizi wa Rais waliweka kauzibe asimwone mkuu wa nchi, hadhi ya Waziri ipoje kwani?

    Msanii hujamwelewa Waziri, alikuwa anasistiza umakini wa Raisi kusikiliza hoja za watendaji wake wake na kuwafundisha, kuwaelimisha na kuwapa hekima wasaidizi wake. Msanii😁 please read between the lines of the whole speech.
  5. G

    JamiiForums Tanzania TikTok imetangaza kusitisha rasmi shughuli zake nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025

    TikTok haitakuwepo kuanzia Jumapili unless Trump acheleweshe
  6. G

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

    23 to electral votes to win
  7. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitendo cha Mahakama kwenda kutoa hukumu ya TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni kuzidi kubariki uovu wa CCM

    Ukisoma hukumu Judge ame analyse vilivyo, tatizo mawakili wa applicants walikuwa wanapiga ramli hawakujenga hoja za kisheria.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Netanyahu ajeruhiwa na makombora ya Yemen Airpot

    Siyo kweli baada ya nusu saa ndege kutua Yemen crooks ndipo waliporusha kombolo wala hajaumia. Pro-Iranian Yemenite terrorists claim ballistic missile attack on central Israel targeted Prime Minister Netanyahu’s plane as it arrived at Ben Gurion Airport. By World Israel News Staff...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ruto ataka Taasisi za Dini zilipe Kodi, Wachungaji na Mitume wachachamaa wamwambia Serikali haiwezi kuwepo bila Kanisa!

    Mathayo 22:21, Marko 12:17 Luka 20:21-25 21 Wakamwuliza, wakisema, Mwalimu, twajua ya kwamba wasema na kufundisha yaliyo ya haki, wala hujali cheo cha mtu, bali unafundisha njia ya Mungu kwa kweli. 22 Je! Ni halali tumpe Kaisari kodi, au sivyo? 23 Lakini yeye alitambua hila yao, akawaambia...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mossad wakamatwa wakitaka kuingia Lebanon kumuua kiongozi wa Hezbollah

    Illegal immigrant siyo Mossad hao-it’s antisemitism
  11. G

    JamiiForums Tanzania ICJ: Israel imeyakalia maeneo ya Palestine kinyume na sheria

    Hiyo ni advisory opinion tu ambayo Iliombwa na General Assembly(UN) it’s not a binding ruling. Maoni hayana nguvu.
Back
Top Bottom