Recent content by Gashongoile

  1. Gashongoile

    Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Iki kipeperushi cha nini? Au campaign zimeanza tena??
  2. Gashongoile

    Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Kidato cha NNE kasoma Kibaha secondary, nenda hapo katafute details acha kutujazia threads.... Lizaboni.
  3. Gashongoile

    Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Asante Ubarikiwe. Lizaboni atakuwa amekuona labda ajitoe akili tuuu
  4. Gashongoile

    Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Kuhuusu PHD ya Mkuu Wa kaya aliyeleta Topic alifanya research mpaka UDSM na hakupata reference kule ndo maana akaja hapa.
  5. Gashongoile

    Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Au mwandishi angewasikiana na NACTE watampa vielelezo vyote otherwise analeta siasa za maji taka na kupoteza muda wa watu kujadili hoja wasiyoweza kufikia Conclusion. Kama kweli unatafuta ukweli nenda NACTE FULL STOP!
  6. Gashongoile

    Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Huyu anayeleta hoja hapa nadhani hii Nguvu angeitumia kuwasiliana na Uongozi Wa shule ya Ihungo wangemweleza wao walimpokeaje mwanafunzi wa kidato cha tano asiyekuwa ma cheti cha form four.... Au kama kipo wangemjulisha na kumpatia template pia maana siyo siri. Na hapo angekuja hapa nan hoja...
  7. Gashongoile

    Mafanikio ya Rais Magufuli tangu aingie madarakani November 5-2015!

    Kuongeza gharama za uendeshaji Wa Serikali.
  8. Gashongoile

    Huu ndio uongozi wa Mh. Freeman Mbowe CHADEMA

    Kwani Slaa aliondolewa Chadema na Mbowe au alijondoa mwenyewe Chadema kwa kujiuzuru Ilatibu Mkuu (Same as Lipumba?) Acha siasa za kijinga jinga we Dada! Tena kibaya zaidi Slaa aliacha Jeshi likiwa kwenye mapambano karibu kabisa na kumshinda adui. Ila kwa tamaa zake za Mali na ulafi akaamua...
  9. Gashongoile

    Mgomo warindima Kisiwani Pemba, Kojani wakataa kuwavusha wana CCM kwenye Vyombo vyao

    Wewe mwenyewe mwanasiasa, sema tuu umelowa pombe ya kijani ndo inakuchanganya
  10. Gashongoile

    Muziki wa CUF ndio uchezwao Zanzibar

    Aaaaaaaaaahh
  11. Gashongoile

    Kwa jinsi Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea anavyokurupuka Bungeni, ndivyo anavyofanya Mwanahalisi

    Kama unamtamani sana Kubenea, mtafute mida ya jioni ugeuke akuburudishe!
  12. Gashongoile

    TBC wakata matangazo wakati Meya wa Jiji akiongea

    Station Zote zipi we pumba. ITV, Chanel 10 ambazo zilikuwa haIonyeshi uzinduI uo muda huo zilibaki ewanu ila Azam na TBC zikazimika. This was planned for sure
  13. Gashongoile

    Kamati Tendaji ya CUF yakutana chini ya Maalim Seif Zanzibar

    Sawa hacha isonge mpaka ugali uive!
Back
Top Bottom