Recent content by gasaya29

  1. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Muungano wa CHADEMA na ACT, utaifaidisha zaidi ACT-Wazalendo

    Shida ya watanzania ipo ccm na ili kuiondoa ccm hatuhitaji kufikiri nani ni nani
  2. G

    JamiiForums Tanzania Zali lililotaka kunipeleka Segerea, niligundua mfumo wa ATM una tatizo

    Loh! Hili swali la mwanaukome.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tumedanganywa tena, Tanzania haimo katika nchi kumi uchumi wake unaokua barani Afrika. Ukuaji wa 7% hautambuliki kimataifa

    Kwa tafiti inapoandikwa kutoka Kenya inakuwa imekosa haki ya kuitwa tafiti? Ila ingeandikwa na Lumumba propaganda college ingekuwa Bora?
  4. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu, kuna kila dalili wenye CHADEMA yao hawakutaki ugombee urais, kama vipi twen'zetu ACT Wazalendo

    Ile movie unahusika kuitengeneza? Mbona umekuja mbio sana kuielezea huku na kuhuisha mambo?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Afande Anthony wa kituo cha Chalinze akamatwa na magunia ya bangi akiyasafirisha kwa gari binafsi

    Rudia tena kufikiri...kwamba gari za polisi zichunguzwe na polisi kwa sababu zinapiga dili haramu[emoji848]
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Baraza la Usalama la Taifa ni Kina nani?

    Hapo umemanisha nini ndg ? Kwamba sisi wengine hatuwezi kuwa waume zako ??
  7. G

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kutoa onyo kali kwa CCM katika mkutano mkuu wa uchaguzi wa CHADEMA Septemba 14

    Una uhakika na kifo cha chacha wangwe?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Mbarouk, Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora

    wewe wachezeshwa na nani kama chadema wqchezeshwa na mbowe? af kwa huyo uliyeshirikiana naye kuweka hoja hii mnapaswa kujua kuwa watu wa aina yenu ndio huwa mnazungumza kuhusu ukabila na ukanda na vingine vingi ambavyo kiukweli havina tija ktk maendeleo ya kwenda kwenye mabadiliko
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ismail Jussa yupo live katika makutano

    Weka utakao kufaa ww
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

    sorry wewe na mwenzko hapo juu cjawaelewa nasema hivo maana maada ni nyingine af nyie mnayo nyingine,kwa kifupi kabisa naomba tusaidiane kutafakari maneno ya aliyewahi kuwa kiongozi wa libya"ama huwezi ingia kitandani ukaupige ucngz!!
  11. G

    JamiiForums Tanzania UKAWA kusambaratika Kesho

    nikushauri k2 tena kzr!? fanya hivyo na kwa babaako kamwambie hv unavyotuambia humu....yn umwambie iv!!! baba unapumulia mashine umeckia...haya kimbia sa iv.
  12. G

    JamiiForums Tanzania DIASPORA yupi aliyefanikiwa kiuchumi, kisiasa na kijamii awe mfano?

    akaaaaaaa ndo mliko fiiiiiika huku!!!!!! angalia hasira co issue!
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania isiyo na CHADEMA itakuwa sehemu nzuri ya kuishi

    Topic nzr sana ila kitu ambacho cjui ni.....hivi kuishi ni kulala, kusimama au kukaa? niweke sawa ili twende vizuri na topic:
Back
Top Bottom