Recent content by Garnacho

  1. G

    Yanga mtakataa kucheza ikitokea mnakutana na Simba kwenye CRDB Federation Cup?

    Watanzania wengi, hasa mashabiki wa simba akili zao zipo kwenye naniliu! 😂😂😂
  2. G

    Hongera sana kwa ukomavu wa kidemokrasia wanachadema, najiunga rasmi kuwa mwanachama

    Kwanza nikiri, sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote Tanzania, nilikuwa tu shabiki wa chama hiki (CHADEMA) lakini nilivunjwa moyo baada ya Hayati Lowassa kupokelewa na kujiunga na chama hiki. Kitendo hicho kilinikwaza sana nikaamua kubaki neutral coz niliona kama viongozi wa chama ni...
  3. G

    Kampuni ya ulinzi ya Risk Insight iliyopo Masaki acheni kutunyanyasa wafanyakazi wenu (Walinzi)

    Wadau, leo ni tarehe 7/01/2025. Mpk sasa baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni hii hatujalipwa mishahara ya mwezi wa December mwaka jana, cha ajabu malipo kwa wafanyakazi yamekuwa yakifanyika kwa mafungu mafungu bila taarifa yoyote kutolewa ili kuwajulisha wafanyakazi nini kinachoendelea ndani ya...
  4. G

    Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

    Labda rais wa Manzese ukamrithi MADEE! 😂😂
  5. G

    Karibuni kwenye Pub yangu inaitwa Runway Pub yangu iliyopo Kinyerezi Mahakamani

    Tuwekee picha za baadhi ya wahudumu tuone kama wana NYASHI! 😂😂
  6. G

    Hivi kumbe SportPesa ni wahuni kiasi hiki?

    🤣🤣🤣🤣🤭
  7. G

    Hivi kumbe SportPesa ni wahuni kiasi hiki?

    Well said, kampuni yangu pendwa hii ya ubashiri! 💪
  8. G

    Hermes sandals size 42

    Tatizo mbali boss, nipo Airport kuzifata huko gharama itakuwa kubwa sana.
  9. G

    Hermes sandals size 42

    Umeshauza? Na kama bado, upo Dar sehem gani?
  10. G

    Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

    Kuna madem wanaojambia mbali? 😂😂
  11. G

    Phone4Sale Jipatie Samsung Galaxy a03 core kwa bei ya kutupa

    Karibuni wapendwa Simu HAINA TATIZO LOLOTE Inapatikana maeneo ya airport DSM Bei yake NI 160k Serious buyers karibuni DM
Back
Top Bottom