Pole sana kijana, sasa hukumbuki is umesema ulivyoyumba kiuchumi alikusapoti 😄 sasa nan kakwambia hela ya mwanamke inaliwa kirahis pasi kujua undani 😄 alkua anakuzuga na kwanini umchunguze bata wakat unajua unamla polee
Watu wengn utadhan hazimo mbona story yako inakinzana mara wew ukataka namba, enhe then akaamua kukupa tunda so namba ulichukua kwa lengo gani labda Acha uzinz, unatak tukusifie apo sio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.