Halafu.. Nimeona inayoelezwa kuwa nakala ya fomu uliyojaza mali na madeni (yanayoweza kuwa public tu)
Umejitambulisha kama Kiongozi wa Chama... Woga ulikuwa upi kujaza "Kiongozi Mkuu wa Chama" kwasababu kiongozi hata kijijini yupo.. Unaona licheo linakuaibisha hivi?
Nimalizie kwa kusema...
Nimuulize kaswali kadogo tu..
Kwanini maCCM ndio yanayoumia zaidi wakati anaadhibiwa na chama makini Chadema kwa usaliti?
Alishindwa kuwaambia wasiwe mbelembele sana watashtukiwa!?
Ni lini Zitto amewahi kuidiss CCM? hata kwenye kikao tu.. Anayejua anisaidie nielewe ataanzaje kupambana na CCM waliomfikisha hapo
Watanzania sio mazuzu..
Juzi akiwa EATV alikiri mwenyewe kuwa alianzisha chama akiwa ndani ya chama..
Wiki hii inayomalizikia leo Arusha ilikuwa na ugeni wa Katibu Mkuu wa CCM Bw A Kinana na Katibu wa Itikadi wa chama hicho Bw N Nnauye..
Ziara ya viongozi hao wa chama Jijini hapa ilifuatia kukamilika kwa maeneo mengine ya mkoa wa Arusha.
Jambo la kipekee ni kuwa maeneo yote waliyopita...
Wenyewe ni watanzania wanaodai mabadiliko... Ilipozinduliwa M4C lengo kuu ilikuwa kukikabidhi chama rasmi kwa umma ukigharamie na uwe na uhalali wa kushiriki moja kwa moja kupigania mabadiliko badala ya kusubiri wengine wafanye..
Mamia ya Wananchi wakazi wa Jiji la Arusha muda huu wako katika ofisi za Mamlaka ya Maji Jijini hapa AUWSA kuhitimidha maandamano ya kuishinikiza mamlaka hiyo ya Maji kutoa majibu ya kukosekana kwa maji kwa takriban wiki moja sasa kwa maeneo mengi ya Jiji bila taarifa yeyote. Wanataka pia huduma...
Kuna jamaa anaitwa Beda..alikuwa Mwenyekiti huko Arumeru Magharibi miaka ya nyuma...akashindwa uchaguzi akakimbilia ACT, hakukaa akakimbilia ugambani.. Badala yake Chadema wakashinda kuongoza Halmashauri ya Mji Mdogo wa Ngara..
Jiandaeni kusikia na huyu akitajwa kwa style ile ile kuwa amehamia...
Yaa ni sawa na Mwandishi aandike leo..
"Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Arusha Samson Mwigamba ahamia CCM" au
"Aliyekuwa Diwani wa Chadema Kimandolu Eatomih Mallah Ahamia CCM"
Ni vistori vya kuunganisha unganisha kupata hoja.. Mnachukua watu kwa historia zao mnawabatiza ucjadema leo..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.