mashimo kama drafti ukikwepa moja unaingia la pili yake Leo niliona malori mawili yamepiga chini sehemu mbili tofauti kwaharaka nikajua tu chanzo ni kukwepa mashimo
huu ni ujinga maandamano ya amani wakati watawala wenyewe hawajali kuhusu amani? Yale maandamano ya mo29 ndio yanafaa kwa serikali yenye dharau kama hii choma kila kitu kuanzia hapo ulipo
kama uchaguzi unaendeshwa isivyo halali maana yake walioandaa uchaguzi usio halali wamefanya uhalifu kwa vile waliondaa uchaguzi wapo kwenye nagzi za juu ambapo raia wa kawaida hawakua na uwezo wa kuwazuia waandaaji wa uchuguzi kuandaa uchaguzi usio halali tuna muhesabia huyu anaye kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.