Recent content by Ganda Mweri

  1. Ganda Mweri

    JamiiForums Tanzania Kanuni Mpya Ligi Kuu Timu ikisajili mchezaji wa Kigeni atalipiwa ada ya Milioni Nane TFF

    Wajumbe wa bodi ya ligi ni wenyeviti wa vilabu.
  2. Ganda Mweri

    JamiiForums Tanzania Kanuni Mpya Ligi Kuu Timu ikisajili mchezaji wa Kigeni atalipiwa ada ya Milioni Nane TFF

    Safi sana, sio timu zinasajili wachezaji halafu zinashindwa kuwalipa mishahara.
  3. Ganda Mweri

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

    Hukutumia dawa hata kidogo?? Na Je ilichukua muda gani kushuka?
  4. Ganda Mweri

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

    Mkuu ebu nipe elimu kidogo, mbona tunaambiwa ikizidi tu 140 ni hatari.. Na wewe unasema sio mbaya kwa umri wake? Naomba ufafanuzi kidogo uhusiano wa hatari ya presha na umri wa mtu.
  5. Ganda Mweri

    JamiiForums Tanzania Natokwa na usaha kwenye mkojo baada ya kufanya mapenzi. Inaweza kuwa dalili ya ugonjwa gani?

    Sugaring pressure ndio ugonjwa gani ndugu
  6. Ganda Mweri

    JamiiForums Tanzania Hatimaye leo nimejiridhisha tatizo la Simba ni Viongozi

    Nilitaka nifungue Uzi wa hivi, nimemdharau sana yule dingi.
  7. Ganda Mweri

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

    Unazungumzia dk 3o na huku Kuna jamaa yangu alianguka kutoka kwenye mwembe utotoni akazimia wiki 1 na mpaka sasa ni mtu mzima yupo vizuri tu
  8. Ganda Mweri

    JamiiForums Tanzania Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

    Huyo haijui Burundi, nchi Ina watu million 11 anasema wachache?
  9. Ganda Mweri

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki anastahili kiwa nahodha wa Yanga

    Maofisa tu wapo ofisini wana degree zao English haipandi vizuri, uje kuulizia referees hawa ambao wengi ni form failure ndugu yangu?
  10. Ganda Mweri

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki anastahili kiwa nahodha wa Yanga

    Kuwasiliana na mawe, hujui kepteni anatakiwa kuzungumza na nani??
  11. Ganda Mweri

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki anastahili kiwa nahodha wa Yanga

    Timu ya Tanzania, mechi nyingi wanazocheza takribani 40 ni za ndani, Je umeliangalia Hilo? Azizi ki anajua kiswahili fasaha?
  12. Ganda Mweri

    JamiiForums Tanzania Siri ya Mungu mwenye wivu; kwanini Mungu kuwachukua mapema wale tunaowasifu na kuwategemea kupitiliza?

    Ujumbe mzuri kaka, Hilo suala ni kweli kabisa.
Back
Top Bottom